Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Anawabagua Waafrika gani mkuu?
Waafrika ukimaanisha wachezaji weusi au wachezaji wenye uraia wa nchi za Afrika?
Awezee wapi? [emoji23]Sio haters achukue hiyo Uefa akiwa hapo tuone.
Eric Abidal ni mzungu?Anabagua Wachezaji wa kutoka Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara (Weusi), Mfano mzuri ni Yahya Toure na Etoo
Hao wote ni wazungu kasoro keita tu!Eric Abidal ni mzungu?
David Alaba ni mzungu?
Fernandinho ni mzungu?
Sterling ni mzungu?
Mendy ni mzungu?
Kyle Walker ni mzungu?
Keita ni mzungu?
Oooh!Hao wote ni wazungu kasoro keita tu!
Ndio maana akampiga chini!Oooh!
Basi Eto'o Mzungu pia.
Akiacha ubaguzi dhidi ya waafrika atakuwa kocha bora zaidi
Jamaa sijui niggaz walimfanya nini
Kevin YondaniFicheni Ujinga wenu wakuu
Hivi alimbagua nani?
Hili la ubaguzi wa Guardiola mnalielezea kwa minajil gan? Nasikia sikia tu mtaan Pep mbaguz lkn sielew.
Jaribu kunifumbua macho ndugu yangu maana umepata likes nying inaonesha weng wanakubaliana nawe
Alipofika Man city , akamkataa Yaya, Dunia ya mpira ikamshangaa, Yaya alikuwa mzuri tatizo hana kasi.
Anabagua Wachezaji wa kutoka Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara (Weusi), Mfano mzuri ni Yahya Toure na Etoo
Kweli mkuu.
Ila mimi nazungumzia upana wa kikosi.
Man City hadi benchi lao ni la moto.
Halafu kuna wachina au wajapani wangapi?Man City kuna wachezaji wawili weusi katika kikosi cha kwanza.