Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Yaya toure anatoka kusini mwajangwa LA sahara?,unamanisha ivory coast ikohuko!!!!.....watu wanavosema jamiiforum imevamiwa nilikuwa sijaelewa.naza kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo hata jangwa la Shahara hujui lilipo? Ngoja nikutajie baadhi ya nchi Algeria, Morocco, Tunisia, Libya, Chadi, Sudan nk sasa hizo nchi ziko wapi? Kijana wa Magufuli hata Jografia hujui we ni bure kabisa.
 
Kwa kweli anatuharibia ligi
 
Kaka Geoffrey alisema msimu huu liver hata top 4 hawamo mwanzoni wakati ligi inaanza bongo hamna mchambuzi zaidi ni wasimuliaji tu.
George Tigana Lukinja.
Geoffrey Leya.
Dr Laekey Abdallah

Hawa ndiyo wachambuzi ambao naweza kupoteza muda wangu kuwasikiliza hao wengine ni wapiga kelele tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule msimu Leicester City anachukua ubingwa hakuna mchambuzi aliyewapa nafasi hata ya top 6 lakini mwisho wa msimu walibeba ndoo..

Kuchambua mpira ni kitu kingine na kutabiri ni ishu nyingine..

~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…