Guardiola anaifanya Ligi ya Uingereza kuonekana nyepesi

Kama rahisi mbona wengine hawaongozi kwa point 20?
mateso waliyopitia Liverpool wana haki ya kufanya haya wanayoyafanya timu imesukwa kwa muda mrefu mafanikio hayaji kwa maneno maneno.
Mimi ni Chelsea na Newcastle United.
Na siipendi Liverpool lakini ukweli nitasema.ligi sio rahisi bali wamejipanga kwa muda mrefu.
Kweli tumeiona ligi imekuwa rahisi mtu anaongoza kwa point 20

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada uje ujazie mapengo kwenye uzi wako.
Nadhani Man City bado wana nafasi ya kutwaa taji pamoja na point 22 zaidi za Liverpool
 
Iwe fundisho kwa watoa mada wa hisia zao badala ya uchambuzi wa kina na kupambanua mambo halisi yalivyo, sasa kamhamishe huyo Guardiola ili msipate aibu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wa kuifunga City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…