Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiangalia kikosi cha Pep Guardiola,pamoja na usajili alioufanya mpaka sasa,sioni timu tofauti na Man City ikibeba ubingwa wa EPL msimu ujao.
Inauma,lakini niseme tu ili timu tofauti na Man City ibebe ubingwa wa EPL basi tuombe Guardiola ahame haraka sana.
So far Kikosi cha kwanza cha City kwa msimu ujao kinaweza kuwa hivi
Golini: Ederson
Mabeki: Walker,Stones,Laporte,Zinchenko
Viungo: De Bruyne,Rodri,Bernardo
Washambuliaji: Sterling,Jesus,Mahrez
Bench lao: Mendy,Otamendi,Angelino,Foden,Sane,Aguero,Gundogan,Fernandinho,David Silva
Guardiola anatuharibia ligi yetu pendwa.
Labda PepsiGo Pep!!
Unasema??Mtoa mada uje ujazie mapengo kwenye uzi wako.
Nadhani Man City bado wana nafasi ya kutwaa taji pamoja na point 22 zaidi za Liverpool
City watachukua ubingwa msimu huuUnasema??
Hakuna wa kuifunga CityNikiangalia kikosi cha Pep Guardiola,pamoja na usajili alioufanya mpaka sasa,sioni timu tofauti na Man City ikibeba ubingwa wa EPL msimu ujao.
Inauma,lakini niseme tu ili timu tofauti na Man City ibebe ubingwa wa EPL basi tuombe Guardiola ahame haraka sana.
So far Kikosi cha kwanza cha City kwa msimu ujao kinaweza kuwa hivi
Golini: Ederson
Mabeki: Walker,Stones,Laporte,Zinchenko
Viungo: De Bruyne,Rodri,Bernardo
Washambuliaji: Sterling,Jesus,Mahrez
Bench lao: Mendy,Otamendi,Angelino,Foden,Sane,Aguero,Gundogan,Fernandinho,David Silva
Guardiola anatuharibia ligi yetu pendwa.
Katoka kupigwa juzi na chelsea.Hakuna wa kuifunga City
wamekaa rufaaKatoka kupigwa juzi na chelsea.