Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

Among of the 'hugest' sexpionage scandal of the 21 Century.
 
Namfikiria mke wake sana, ni kwamba hakuwahi kuhisi chochote? Au alikuwa anafahamu lakini akachagua kuvumilia?
Huwa kuna wanawake wavumilivu hujui tu. Kama mke wangu mm mvumilivu sana kwangu, alishagundua namla beki tatu ila alimfanyia roho mbaya hadi akaondoka mwrnyewe, siku katoroka ndo akatania "mke mdg katukimbia" nikajifanya kukasirika si ndo akaanza kushuka mkanda mzima, ilikua balaa.
 
Na madem walivyo wajinga na dhaifu akija kwako sshv unampa k vzr tu sio kwa kumsifia huko. Na ndo kinafanya tuwale sana, mnasimuliama mnatamanishana na hao wasimuliwaji wanaanza kujisogeza, dkk sio nyingi kitu imo
 
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang.

Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo.

Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike na Wanawake wengine mbalimbali ambapo imeelezwa wote hao walionekana kuridhia video hizo kurekodiwa.

Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la ANIF ambalo ni Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha la Equtorial Guinea linalohusika na kusimamia uchunguzi wa kifedha na kusimamia shughuli zinazolenga kudhibiti ufisadi wa kifedha Nchini humo.
 
Umemtamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…