Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

View attachment 3144100
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang.

Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo.

Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike na Wanawake wengine mbalimbali ambapo imeelezwa wote hao walionekana kuridhia video hizo kurekodiwa.

Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la ANIF ambalo ni Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha la Equtorial Guinea linalohusika na kusimamia uchunguzi wa kifedha na kusimamia shughuli zinazolenga kudhibiti ufisadi wa kifedha Nchini humo.

Habari Nyingine Zinazofanana
- Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Ndo maana hawa wa kwetu walikimbiza sheria ya kinga Bungeni
 
Hapa inabidi tupate story iliojificha juu ya kupatikana kwa video hizoo.
Huyu Jamaa alikuwa anachunguzwa na PCCB ya kule kuhusu Ubadhirifu na Rushwa zilizojitokeza Ofisini kwake Sasa basi wakati wanampekua ndio kung'amua hizo S£x Tapes ... KILICHOFANYA ZIVUJE NI HAO MIAMBA WALIOKUTA WAKE ZAO NDIO WAKAZIVUJISHA.
 
Huo ndio uhalisia uliopo ila Tatizo tuna karibu kushindana nao

Kuna wakati binaadamu huwa hatupendi kuishi katika uhalisia Nadhani ni kwasababu ya Imani tulizo mezezwa na Sheria tulizo jiwekea , ila binaadamu akiwa kama walivyo viumbe wengine hai Hawezi kuwa mpenzi wa mtu mmoja hata siku Moja Kwa sababu na yeye ana matamanio chungumza matamanio ya kingono kipesa Mali ushawishi etc
 
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang.

Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo.

Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike na Wanawake wengine mbalimbali ambapo imeelezwa wote hao walionekana kuridhia video hizo kurekodiwa.

Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu Shirika la ANIF ambalo ni Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha la Equtorial Guinea linalohusika na kusimamia uchunguzi wa kifedha na kusimamia shughuli zinazolenga kudhibiti ufisadi wa kifedha Nchini humo.
Sijaisoma hii post yako lakini ukioa mwanamke kama sio bikra basi umeoa Malaya Tu.

Hata ufanye nini hawezi kuacha umalaya.
 
imagine pia najiuliza why alikua ana record? ingekua mmoja au wawili tungesema bahati mbaya, but more than 200+ women? alikua na plan flani huyu, vile tu imefuchuka before aikamilishe.

but liko very hot and sexy[emoji28] aki liko hot, ni vile tu why alekodi mbwa huyu?[emoji34]
vere sexy anii
 
Back
Top Bottom