Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

Ndo maana hawa wa kwetu walikimbiza sheria ya kinga Bungeni
 
Hapa inabidi tupate story iliojificha juu ya kupatikana kwa video hizoo.
Huyu Jamaa alikuwa anachunguzwa na PCCB ya kule kuhusu Ubadhirifu na Rushwa zilizojitokeza Ofisini kwake Sasa basi wakati wanampekua ndio kung'amua hizo SΒ£x Tapes ... KILICHOFANYA ZIVUJE NI HAO MIAMBA WALIOKUTA WAKE ZAO NDIO WAKAZIVUJISHA.
 
Huo ndio uhalisia uliopo ila Tatizo tuna karibu kushindana nao

Kuna wakati binaadamu huwa hatupendi kuishi katika uhalisia Nadhani ni kwasababu ya Imani tulizo mezezwa na Sheria tulizo jiwekea , ila binaadamu akiwa kama walivyo viumbe wengine hai Hawezi kuwa mpenzi wa mtu mmoja hata siku Moja Kwa sababu na yeye ana matamanio chungumza matamanio ya kingono kipesa Mali ushawishi etc
 
Sijaisoma hii post yako lakini ukioa mwanamke kama sio bikra basi umeoa Malaya Tu.

Hata ufanye nini hawezi kuacha umalaya.
 
vere sexy anii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…