Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
yule mwamba yeye ndo alikuwa ana record na kuset camera vzr
 
Kwanini kajiua haraka wakati na sisi tunataka kuonja?
 
Kwa wanaofuatilia habari mbali mbali nadhani mmeona skendo hiyo ikitikisa bara letu la giza.

Pamoja na jambo hilo kuonekana la kushtusha,ila watu wa jinsi hiyo wapo wengi na hata hapa kwetu Tanzania wapo.

Wasichana na wanawake hawaoni tabu kutembea na mtu maarufu na wengine ili mradi walipwe pesa tu.

Kuna maafisa wanaoishi kwa utaratibu huo na wana wanawake idadi ya kutosha kwa vile wanaweza kuwahudumia.

Kuna kundi kubwa na wasichana wamehamia Dodoma kutega wakiamini huenda wakapendwa na maafisa hao wasijue kwamba watu kama hao ni watu hatari kutokana na kutoridhika kirahisi hata wanawake wakiwa 400.

Tabia hii ni hatari na ili angalau ipungue kwenye hizi ofisi za umma,viongozi wa juu wakemee vikali na kuchukua hatua kali zikiwemo za kuwafukuza kazi maafisa hao.

Hata hivyo nakiri kuwa hii ni ngumu sana kwa kuwa wanaotarajiwa kupeleka miswada ya sheria huenda ni wanaume hawa hawa tunaowaona ni hatari.

Wanawake acheni tamaa mbaya mnajidhalilisha sana. Ombeni Mungu awape roho ya utoshelevu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mkasa wa huyu Jamaa kutoka Guinea ya Ikweta unatufanya tuendelee kushindwa kumuelewa kiumbe wa kuitwa ‘Mwanamke’ hatujui anataka nini kwenye maisha

orodha ina Wake wa Vigogo na Wazito mno (VIP Wives) ambao hatuamini kama hela ni tatizo kwao ila Mwana kapita nao, hili ni fumbo kubwa sana kwenye maisha kujua nini wanahitaji maishani.

Pia, Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Kama orodha ina Wanawake 400 maana yake kwenye taifa la Guinea ya Ikweta ambalo lina watu Million 1.8 huyu kwa lugha nyepesi amezigusa familia 400, hapo unaweza kupiga hesabu ya kawaida kuwa ana Ubaba flani wa Taifa hilo😀

Tubaki palepale tu Wanangu, tutafute hela kwa ajili ya kukimbia Ufukara sio kwamba hela zitamfanya Mwanamke atulie, tafuta pesa uishi maisha ya ndoto yako na Watoto wako, tafuta hela ili ubadili hali ya maskani, pesa haiwezi kununua hisia za Mtu ama akili zake hilo sahau.

KATIBU MKUU.

 
Wee bwana mbususu tamu Wacha watu watu mie hela kuenjoy. Sasa hela unayo kwa nini usienjoy na warembo? Hayo ndio matumizi sahihi ya hela kuliko mtu ana unua magari ya mil700 yamepaki tuu. Huyu anasambaza hela kupitia hao wanawake wandu wengine nao wananufaika
 
Hayo mambo yapo ni ya wakaida sana
, sema tatizo la mwamba ni teknolojia tu.
 
Kwa tabia hii najifunza kuwa kwa mwanamke pesa haijawahi kutosha.

Tafuta pesa tafuta jina tafuta wadhfa ila mkeo akiamua kugongwa anagongwa tu.
Wanawake wengi hawajui wanachokitafuta.
Mtu anayekaa na kusikiliza ushauri wa mwanamke huyo ujue akili zimeyumba kiasi fulani

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wengi hawajui wanachokitafuta.
Mtu anayekaa na kusikiliza ushauri wa mwanamke huyo ujue akili zimeyumba kiasi fulani

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ila wanawake hawa.
Ni viumbe vya ajabu, eden ilikuwa tulivu ila alipoingia Hawa/Eva mambo yakawa mambo, kukukawa na kashkash. 😂
 
Kuna watoto wengi hapo wanaenda kuishi bila mama na baba pamoja maana kuna ndoa nyingi zinaenda kuvunjika hapoo!Aisee ogopa MUNGU NA TEKNOLOJIA (R.I.P RUGE)
 
Wanawake wengi hawajui wanachokitafuta.
Mtu anayekaa na kusikiliza ushauri wa mwanamke huyo ujue akili zimeyumba kiasi fulani

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wengine wanasema mwanamke alipewa Pandora box 📦. Akaifungua akaleta matatizo duniani yani kila kitu mwanamke 😂😂.
Ingekuwa mbaya kama jamaa angekuwa amewabaka au kuwaingilia kwa nguvu.
Ila wanashiriki asilimia zote hahah kwamba walikuwa wanajua wanachokifanya kwa ridhaa yao.
Hivi viumbe hivi duh.
 
mi mwenyewe na vimia mbili vyangu ila nawala vibaya mno sembuse huyo mwandamizi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…