Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
una akili KUBWA sana mkuu
 
Labda alikua anapunguza machungu ya msiba.

Ujue kila mtu ana opium yake.

Siungi mkono Ila nimejaribu kuwaza TU.
 
Tatizo mnaoa Wanawake wenu alafu mnapenda kazi kupitiliza! Mnakula ovyo mnashindwa kutimiza majukumu yenu!
Kwenye sakata la Mwamba Baltazar Engonga nahisi wengi walikuwa wanalisaka rungu lake!
 
Naungana na wewe mleta mada. Mwamba hajabaka. Kapewa mbususu kiroho safi, asisumbuliwe.
Mwamba clip zote hakuna za under age. Hakuna aliyelazimishwa.
Hakuna za kishoga!
Nadhani tatizo ni lile rungu lake! NDIYO! Waliochapwa walikuwa wanasimulia wenzao!
Katika nchi ya watu 1.8M nadhani kuna upungufu wa marungu!
Nataka kuamini kuwa hao wanawake 400 ni walioonekana kwenye clip!
Pengine kuna wengi walitaka rungu lakini off-record!

Mwamba mgongaji Baltazar Engonga,
Dunia itamshangaa lakini apewe tuzo!
The MVP himself!
 
Jamaaa kapiga adi mke w kakake! kapiga mpwa wake! mke w mlinzi wake! mke wa mwanasheria mkuu! Mke wa mkuu wawalinzi wa rais! kapiga adi dadaka rais! mke wa mchungaji wake! Mawaziri kadhaa wake zao jamaa kapita nao! Bint wa mkuu wa polisi IGP uyu mwamba tutasikia kajiuwa mwenyewe akiwa rokap, kaumiza watu wengi sana
 
Kisa cha kigogo wa serikali ya Guinea ya Ikweta, Baltasar kuhusishwa na matukio ya kufanya ngono na zaidi ya wanawake 400 huku wengi wakiwa ni wake za wakuu ...
Baltasar hana makosa kwa sababu hiyari ilitumika baina ya wahusika hata kama ni wake za watu. Hilo suala ni mtu na mkewe namna watakavyomalizana kama mume atamsamehe mkewe au kumuacha. Pili ingawa amejirekodi lakini hakuzisambaza, mamlaka ndiyo imezisambaza. Kujirekodi alifanya kibinafsi kwa ajili yake tu kuziangalia.

Watu waache wivu hasa wale wanaume wasio na nguvu sawasawa za kufanya mapenzi ndio wanaoongoza kwa kumshambulia.
 
Hao wanawake waliikuwa wanajua jamaa ni kiwembe na kawaida ya wanawake wanapenda watu wa aina hiyo, na ukiangalia umbile lake alivyo walikuwa wanampapatikia na hawakuoneana wivu wao kwa wao

Jamaa hawezi kujiua ajiue kwa nini. Na mahakamani atashinda tu serikali inachoweza kufanya ni kumfukuza kazi tu.
 
Kisa cha kigogo wa serikali ya Guinea ya Ikweta, Baltasar kuhusishwa na matukio ya kufanya ngono na zaidi ya wanawake 400 huku wengi wakiwa ni wake za wakuu wa utawala...
Wewe muonee huruma na mpongeze huo ujinga kaufanyia huko. ingekuwa ni huku bongo sasa hivi muda mwingi angekuwa ashapakwa futa lenye miksa vitangawizi huo huko akhera maana sio tu kumuua huyu wangehakikisha anakunya Figo au kongosho kwa kifiro
 
Hahaha
 
Hahaha
 
Hatari...ila mbususu tamu jamani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…