Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Kelsea Kuna swali la kujibu huku kuhusu TDH
 
Mtu wa system kitambo huyo hana cha kuogopa.
 
Attention tu haitoshi kumridhisha huyo kiumbe...
Bado Ni Ulongo, asipoamua mwenyewe kuridhika for nothing hawezi kuridhika for anything πŸ˜‘
 
Noma sana!
 
Ni kweli ukiwa na muonekano SO CALLED MZURI kwa wanawake kuwala ni tani yako tu hawapindui especially wakiona unabadilisha sana wanawake ndo wanakujaa kibao
 
Ila alichokifanya Bartazary lazima kituumize kichwa wote kwa kufikiria hii gender ni kitu gani haswa wanakihitaji???
 
Wanajukwaa habari!

ANZA HAPA: Baltasar Engoga na Clips za ngono 300+

Yale mabandiko ya "kataa ndoa" yalionekana kuwa ya ovyo sana yalipoanza kutangazwa, kwa upande mmoja watu wengi walifikiri uwenda wasambazaji wa huo ujumbe wa kataa ndoa uwenda hawakuwa vizuri vichwani mwao. Kukataa ndoa kulipingwa na watu waliokuja na hoja kwamba ndoa ni chanzo cha furaha, unapata mke wako mmoja safi na mambo mengine yanaendelea.

Hivi karibuni asilimia kubwa ya majibu yaliyokuwa yakitolewa kwenye nyuzi za kusalitiwa kwa wanaume na wapenzi wao kulikuwa na majibu haya "Tafuta hela kijana", "Mwanamke hawezi kukaa na mwanaume apeche, jisake kijana" na majibu mengine mengi yanayoendana na hayo.

Kulikuwa na imani ambayo ilianza kujipatia mashiko kwamba ukitaka mwanamke angalau atulie jisake usiishi kwa kipato cha kuunga na gundi na vitu vingine vinavyoendana na hivyo kama kuhakikisha unafanya good s3x n.k

Lakini kwa siku hizi za karibuni amekuja GOAT 🐐 kutoka Guinea ya Equator (Equatorial Guinea) huko kwa jamaa anaitwa Nguema, huku amepatikana mhuni ambaye huko jamii ya Twitter (kwasasa X) amepewa jina la Solomon ambaye amekutwa na clips za minyanduano zaidi ya 300 akifanya ngono na wanawake kadhaa (Idadi haifahamiki). Ila kwenye list kuna.
1. Marafiki 15 wa kike wa mdogo wake wa kike
2. Mke mjamzito wa mjomba wake
3. Mke wa bodyguard (mlinzi) wake
4. Mke wa mchungaji wake
5. Wake wa mawaziri kadhaa akiwemo waziri mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Oboru.
The list goes on

Reaction pekee gavoo ya EG imechukua ni kuiminya WhatsApp kuzuia kusambaa kwa video clips, kwasasa nani anategemea sana WhatsApp wakati kuna tons of methods kusambaza kitu.

Source: BBC wauelezea mkasa wa Engonga Baltasar
 
Mtu wa system kitambo huyo hana cha kuogopa.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜… hata kama bro, ndio apige wake za mabosi wake? Yaani mkuu wa system mkewe kapita nae, mke wa IGP nae kapiga nae show; halafu alivo mwehu hadi mke wa AG, angepiga wake za mawaziri pekee yake ningeelewa, sio hao kaka. Hivyo vyeo vinatisha ujue
 
ili mwanamke akuvulie nguo si PESA tu anaangalia kuna vitu vingi sana anaangalia

kumbuka jamaa alikua anawa record na wote wanajua na wanakubali hii inakupa picha gani?

kabla hajamla mwanamke yeyote Jamaa ni LOYAL sana,Muhudumiaji,Mkarimu,Ana madini kichwani

ambayo akiyatolea mdomoni mwanamke akiyasikia anamuona mume wake kama house boy aliechangamka

ki ufupi Jamaa ana TALENT zaidi ya PESA maana hajala omba omba wa mtaani amekula PISI zilizonyooka

ambazo naamini kimtaa mtaaa ukipishana nayo itakupandisha na kukushusha,lakini Mwamba kaikula

kala wanawake wenye waume wenye PESA sana nadhani yawezekana hata kumzidi yeye ila kawakula

means what? Jamaa kama alivyosema MC MADEVU kanyimwa vyote ila akikupiga sound hata kama unaenda leba few minutes later unaweza ghairi kwanza umpe akunyooshe ndo uende LEBA.

Mwacheni mwamba maaana ANA kitu na atafika mbali.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…