Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Ni kweli kabisqHilo sikatai; nina hakika waume wa hao wanawake waliolia na huyo CAG nao wana michepuko ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisqHilo sikatai; nina hakika waume wa hao wanawake waliolia na huyo CAG nao wana michepuko ya kutosha
Hapana hahahahMademu wa kiafrica wanafki sana jamaa wamempa bwana sababu ni white na handsome basii..
Kelsea Kuna swali la kujibu huku kuhusu TDHWanawake ni viumbe wenye unafiki wa hali ya juu. Kila siku kwenye mitandao ya kijamii wanasifia wanaume weusi, warefu, na wenye mvuto (‘black, tall, and handsome’), huku wakiwakosoa wanaume wenye ngozi nyeupe kwa kila aina ya kashfa.
Lakini sasa ona yaliyotokea huko Guinea: yule jamaa Baltazar ni white na handsome, na amefanikiwa kutembea na wanawake wengi wenye hadhi – na hilo bila kutumia nguvu au mbinu yoyote ya kulazimisha nauhakika moja ya sababu iliyokuwa inawavutia wanawake hao ni white wake na handsome wake.
Nahakika kabisa kama angekuwa mweusi, asilimia 50 ya wanawake aliowapiga nao wangemkataa.
Sitakaa tena kuwa na imani na hivi viumbe wanawake wa Kiafrika. Kwa sababu wao ndio hao hao wapo bize wanaotumia vipodozi na mbinu zote kutafuta weupe, huku wakitupigia sifa wanaume ‘black, tall, and handsome.’
Mtu wa system kitambo huyo hana cha kuogopa.Sahihi sana, nilikua najaribu kua kinyume na mtazamo wa mleta uzi kwamba mapenzi yale yalikua yamehamasishwa na pesa or cheo; % kubwa ya wale wanawake wanaotajwa waume zao wanazo pesa za kutosha na wana vyeo as well. Kuna mmoja ka katisha ziara yake from Dubai, mkewe kamnunulia gari 2, means the guy is not a poor man. Well, ila kuna watu hawaogopi aise, imagine unapita na mke wa IGP, AG na mkurugenzi wa usalama wa taifa plus mchungaji wake, hu ujasiri sio wa kawaida
Attention tu haitoshi kumridhisha huyo kiumbe...Hiyo ndo principle, akikosa kimojawapo ni lazima akitafute nje.
mfano:- unampa 1. hela ya kutosha, 2. unamgonga vizuri, 3. una mpa attention ila wewe ni boss na mtu wa vikao na unasafiri sana.
Kwa kukosa muda, mkeo atagongwa na dereva wake ambaye anamuona kila muda au atagongwa na shamba boy ambaye anakaa naye muda mwingi au atagongwa na mfanya kazi mwenziye ambaye toka asubuhi mpaka jioni wako pamoja.
kati ya hivyo 4 unadhani ni kipi unaweza kumpa na kipi umtoshelezi?
Noma sana!Kisa cha kigogo wa serikali ya Guinea ya Ikweta, Baltasar kuhusishwa na matukio ya kufanya ngono na zaidi ya wanawake 400 huku wengi wakiwa ni wake za wakuu wa utawala katika nchi hiyo na kisha kujirekodi video kimeistua dunia na habari zake kusambaa hapa Tanzania. Mbali na kuanikwa vibaya pia mamlaka za nchi yake zimeahidi kumfukuza kazi yeye na wote waliohusika.
Kiujumla ni kisa cha ajabu, kusikitisha, kuchefua na kuhuzunisha. Lakini kwa upande wa pili ni kisa kilichojaa uonevu mkubwa dhidi ya mhusika mkuu (Baltasar) na wahusika waliotendewa (wanawake).
Kosa la Baltasar ni lipi hasa?
Kosa ni kutembea na wake za watu au wake za watu kutembea na huyo jamaa? (Kidini na kimaadili sio sawa), je kisheria ni kosa?
Kosa ni kujirekodi akifanya ngono? Kimaadili sio sawa, je kisheria ni kosa?
Uhuru wa faragha wa wahusika umelindwaje? Nani mwenye mamlaka ya kuingilia uhuru wa faragha wa mtu mwingine?
Starehe na uhuni wao wa sirini unatuhusu nini sisi?
Kwanini video na picha za matukio ya wahusika zisambazwe mitandaoni mara baada ya mhusika kupekuliwa, kukamatwa na kutajwa hadharani?
Amefanya hayo matukio kwa kipindi kirefu bila kujulikana, amemiliki hizo video kwa muda mrefu bila kusambazwa, kwanini apekuliwe na kukamatwa halafu zisambazwe? Nani anazisambaza na lengo lake ni nini?
ANGALIZO
Sio sawa hata kidogo kujirekodi au kutazama video za ngono, na sio sawa kutembea na wake za watu au kufanya ngono ovyo ovyo.
Noma sana!Well, usikute naye mkewe analiwa na wengine…
Kwa uzoefu wangu, hayo mambo ndo yalivyo.
Yeye anakulana na wake watu wengine huku mkewe naye anakulana na njemba zingine 🤣.
😀😀😃😄😁😅 hata kama bro, ndio apige wake za mabosi wake? Yaani mkuu wa system mkewe kapita nae, mke wa IGP nae kapiga nae show; halafu alivo mwehu hadi mke wa AG, angepiga wake za mawaziri pekee yake ningeelewa, sio hao kaka. Hivyo vyeo vinatisha ujueMtu wa system kitambo huyo hana cha kuogopa.
Ukweli humweka mtu huru kama sio kumfunga😀🤔Funguka tu. Ninyi wanawake Mnataka nini?
Au hata wewe unataka nini?
Au haujui unachokitaka?🤣