Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Bibilia imeagiza kuishi nao kwa akili. Hakuna aliyelazimishwa na waliovujisha video hizo ni wale waliozichukua walipomkamata kwa tuhuma za ubadhirifu. Hao ndio wakosaji kuzisambaza siri za watu za faragha.
 
Jamaa amezeeka ghafra Kwa kashfa, stress mbaya jamani usije tu Kwa mwenzako.

Bahati Mbaya Trump ameshinda, na anapinga wazi mambo ya kuendekeza ngono. Otherwise kamala angemuuta akaombe hifazi, maana kina democrat wanapemda ngono kama haitoshi kwenye vikojoleo mpka kufagilia upinde.
 
Bahati yake ingekuwa kabra ya Yesu, Mazayuni wangemuomba na wale ma mama 400 wawapige mawe.
 
kuna picha nyingine inaoneka nyuma ya hii kesi.
1. sheria na mfumo wa mahakama unajielea tofauti na baadhi ya nchi nyingi za kiafrika
 
Challenge ya Engonga hii hapa
 

Attachments

  • Balthazar Africa challenge 🔥(720P_HD).mp4
    5.2 MB
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…