MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Mshana Jr inabidi uje na uzi kueleza hii imekaaje kiroho. Nahisi tutajifunza zaidi.Hili ni pepo na limemuathiri vibaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshana Jr inabidi uje na uzi kueleza hii imekaaje kiroho. Nahisi tutajifunza zaidi.Hili ni pepo na limemuathiri vibaya sana
Hizo tabia hazifai Kwa watu wa Umri wetu.Ujiangalia kwa umakini jamaa alikuwa anajirekodi mwenyewe
Uafumfunga kwa kosa gani? Mpaka sasa hakuna kosa unless wale waliopigwa pumbu wakafungue mashtka kuwa walibakwaHata kama akifungwa lakini tukubali kwamba Kawafaidi sana
MwanaumeWewe Ni Me au Ke
Ngoja waoneAkili kisoda
Hili ni pepo na limemuathiri vibaya sana
Wee Jamaa Vipi !? Wakati wahusika walikuwa wanaona kabisa Jamaa ana washa camera na wao walikuwa wapo Radhi kabisaMimi sidhani rekodi nyingi zinazovuja mitandaoni ni za wahusika kujirekodi, bali ni za kurekodiwa kwa siri ama kwa masharti ya kikombozi.
Mfn kama ile ya Gwajiboy alivyokuwa akisakata gozi hadi kufunga goli la mkono wakati kipa katulia kwa kusinzia, wadhani alijirekodi na kuirusha video yanye madhaifu ya namna hiyo, jibu ni hapana.
Hairuhusiwi JF kuweka maudhui ya ngonoHv inaruhusiwa kudondosha video huku au
Kutazama porn kukuzidi Sana Matokeo yake ndio hayo ubongo unakuwa unatafasiri matukio ya kijinga Tu na Una kupush uyafanye hakuna Aliyewahi kuangalia Sana porn halafu akatoka salama katika kuwa na addiction ya kuwatch porn ndio kumezaa wasagaji wafilaji/wafilwaji na Malaya kama huyo jamaaKweli jamaa anaonekana anashida, NI kama ubongo imekaa nyege hata ukiangalia zile vdeo
Sikafanya uzinzi katika ofisi ya Serikali hapo hakuna kosa sijui Sheria za nchi yao zilivyo lakiniUafumfunga kwa kosa gani? Mpaka sasa hakuna kosa unless wale waliopigwa pumbu wakafungue mashtka kuwa walibakwa
Hili nalo mkalitazame!Wee Jamaa Vipi !? Wakati wahusika walikuwa wanaona kabisa Jamaa ana washa camera na wao walikuwa wapo Radhi kabisa
Mke wako anapata visafari safari kazin kwake kila mara na ww unachekelea tu anapata favor kibao na ww upo kama zoba hawanaga akili hawa hata robo"Akinicheat na mimi namcheat."
–Mwanamke mjinga
SWALI: Unafikiri mpaka sasa kati ya Baltasar na wake za watu aliowala nani wameaibika zaidi?
JIBU: Wake za watu
SWALI: Unafikiri ni nani kati ya ndoa ya Baltasar na ndoa za wake za watu ziko hatarini?
JIBU: Wake za watu
SWALI: Unafikiri kati ya familia na ndugu za Baltasar na familia na ndugu za wake za watu zipi zimeaibika?
JIBU: Familia za wake za watu
Mpaka sasa jamaa anazungumzwa kwenye mitandao kama shujaa kwa kumega wake za wakubwa. Lakini hakuna anayewasifu wake za watu zaidi wanatajwa kuwa ni malaya.
Huwa nashangaa sana wanawake wanaosema mume akicheat nao wanacheat. Kupitia hili sakata la Guinea nadhani wamepata majibu.
Kwa jinsi jamaa amepeleka moto kwa wake za wakubwa atazidi kuwavutia wanawake wengine awasugue. Hata mke wake aondokeeo jamaa kesho anavuta manzi mwingine ASAP
Shida ni kwa hawa wake za watu wakiachika na video zao zimevuja nani atathubutu kuwafanya wake?
Learn or Perish
na hapo hawajuani
Fact, na hapa ndipo akili za mwanamke zinaposhangazaatazidi kuwavutia wanawake wengine awasugue.