Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
I’m
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.


Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi mashuhuri, mke wa kaka yake, binamu na dada wa Rais wa Equatorial Guinea, ambao walikuwa na mahusiano ya kingono bila kutumia kinga.

Mwanasheria Mkuu amesema mfanyabiashara huyo atafanyiwa vipimo ili kubaini kama ana magonjwa ya zinaa.

=========

The serving Director General of the National Financial Investigation Agency (ANIF) of Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, has been caught in one of the country’s largest sex scandals.

Baltasar was caught on tape engaging in sexual intercourse with his brother’s wife, cousin, and a sister of the President of Equatorial Guinea.

He is currently embroiled in the largest scandal in Equatorial Guinea.

During an investigation by the country’s security authorities for alleged fraud, over 300 tapes of Baltasar with various women, including married women, were recovered, and they are currently circulating online.

These encounters took place in his office, hotels, and toilets, with all scenes being recorded with the participants’ consent.

He was initially arrested on corruption charges, but during the investigation, authorities discovered the tapes on his computer and leaked them to the public.

Popular social critic Martins Ortse, also known as VeryDarkMan, disclosed videos of this via his Instagram page.

Source: Ahora EG


Africa srory za ngono tunaenda mpaka Guinea lakini mfano hapa Tanzania kuna hujuma kubwa kwa chaguzi za serikali za mitaa watu hawajali wanajali ngono na stori za hivi🤔
 
🐒
1000014487.jpg
 
"Akinicheat na mimi namcheat."
–Mwanamke mjinga

SWALI: Unafikiri mpaka sasa kati ya Baltasar na wake za watu aliowala nani wameaibika zaidi?

JIBU: Wake za watu

SWALI: Unafikiri ni nani kati ya ndoa ya Baltasar na ndoa za wake za watu ziko hatarini?

JIBU: Wake za watu

SWALI: Unafikiri kati ya familia na ndugu za Baltasar na familia na ndugu za wake za watu zipi zimeaibika?

JIBU: Familia za wake za watu

Mpaka sasa jamaa anazungumzwa kwenye mitandao kama shujaa kwa kumega wake za wakubwa. Lakini hakuna anayewasifu wake za watu zaidi wanatajwa kuwa ni malaya.

Huwa nashangaa sana wanawake wanaosema mume akicheat nao wanacheat. Kupitia hili sakata la Guinea nadhani wamepata majibu.

Kwa jinsi jamaa amepeleka moto kwa wake za wakubwa atazidi kuwavutia wanawake wengine awasugue. Hata mke wake aondoke leo jamaa kesho anavuta manzi mwingine ASAP

Shida ni kwa hawa wake za watu wakiachika na video zao zimevuja nani atathubutu kuwafanya wake?

Learn or Perish
A man with a thousand girls is a hero, a girl with a thousand boys is zero.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom