Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Teknolojia ni kitu ya kuogopa sana, Na kuwa nayo makini sana.

Ila Wanawake ni viumbe vya hovyo sanaa.

Natafuta Ajira na mockers njoo muone viumbe wenu huku.
Kwanini? Huyo jamaa sio shoga, angekuwa shoga angetongoza mashoga wenzie na angewarecord hivyo hivyo!

Fortunately/unfotunately anatongoza wanawake na wanawake wanamkubalia, Hii lawama ya upande mmoja inatoka wapi?

Huyo jamaa hajabakwa, mtu wa hovyo nambari one ni yeye, namba zinazofuata ni hao wa hovyo wenzie.
 
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirin
Ukidate na usalama na wew si unakuwa usalama etiii!!
Ama ulijuaje km ni usalama usije kuwa ulidate na yahaya
 
Huyu kiongozi katoa mpya ya mwaka



Atasababisha leo watu acc zitune.
Usisahau kupm
 

Attachments

  • 71FCEB65-A8F2-4162-9E0C-551083610556.jpeg
    71FCEB65-A8F2-4162-9E0C-551083610556.jpeg
    874.5 KB · Views: 4
Wanawake wengi ni watu wa kujirahisisha sana ni viumbe ambao maneno yao huwa hayamaanishi wanachosema, maneno wanayoongea/wanachoandika mtandaoni unaweza kudhani wanajitambua na wenye misimamo sana lakini sivyo hivyo usishangae ukamshawishi mwanamke ukafanye nae mapenzi hadharani mchana kweupe katikati ya soko awali atakataa ila ukisimamia msimamo wako usishangae ukaona kakubali na akakwambia kakubali kwasababu anakupenda.

Kwasababu hiyo basi unaweza kuwafanya chochote unachotaka, wala si ajabu hapo jamaa ataomba msamaha na mke atasamehe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom