Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Ila hao wanawake wote walioolewa kwa nini walikuwa wanakubali?

Speaks more about their character than the guy’s licentiousness.

And the whole story, for lack of better words, sounds too good to be true.

400 sextapes? With other people’s wives [OPP]?

Maybe…..
 
Sijui kama kwenye sheria za Equatorial Guinea walitunga sheria inayozuia kula mzigo kwenye ofisi za umma. Halafu lazima uthibitishe kama ile ni ofisi ya umma
Stanfing orders nyingi duniani zinakaribia kufanana. Kufukua papuchi za wafanyakazi wenzake na wake wa ndugu ukizama kwenye standing order ni kitendo kinacho tafsiriwa kama kuishi vibaya na jamii inayokuzunguka. Waziri kiongozi au manlaka zilizo mteua zinaweza kumshughulikia.
 
Sasa ukute huyu naye wakati wa sakata Greenwood kumpiga mchumba wake Man U kapiga kelele huyo afukuzwe 😀, haya hata bongo hasa viongozi ni wachafu wachafu kama yangeonekana hadharani dakika moja tungekimbiana. Kuna watu hata nchi ni laana ni vile bado yatakuja hadharani tu. Kwa sasa wala tusijifanye kushangaa kumuona mtu wa ajabu. Kwetu kuna zaidi ya hayo....usimuamini mtu
 
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirini
Umedate Mtu wa usalama wapi ww
Sema ume date mke wa mtu na ajakuamini ndio maana akakagua kama kuna cameras
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom