Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Wanawake wengi ni watu wa kujirahisisha sana ni viumbe ambao maneno yao huwa hayamaanishi wanachosema, maneno wanayoongea/wanachoandika mtandaoni unaweza kudhani wanajitambua na wenye misimamo sana lakini sivyo hivyo usishangae ukamshawishi mwanamke ukafanye nae mapenzi hadharani mchana kweupe katikati ya soko awali atakataa ila ukisimamia msimamo wako usishangae ukaona kakubali na akakwambia kakubali kwasababu anakupenda.

Kwasababu hiyo basi unaweza kuwafanya chochote unachotaka, wala si ajabu hapo jamaa ataomba msamaha na mke atasamehe.
Aombe msamaha Vipi mtu yupo lockup na mkewe yupo hospital kalazwa baada ya Hiyo scandal kulipuka akazimia . Though huyo Jamaa ana kesi nzito ya uhujumu uchumi (Money laundering) inasadikika kwamba walio leak hizo video clip ni usalama walipokwenda kumfuata walichukua pc yake mwisho wa siku ndio yamejitokeza hayo

Na tayari kuna victim mmoja kaamua kujiua baada ya video zake kuonekana Dunia nzima akiwa analiwa uroda na Huyo jamaa
 
Attachments

  • Screenshot_2024-11-04-22-39-02-791_com.google.android.youtube-edit.jpg
    Screenshot_2024-11-04-22-39-02-791_com.google.android.youtube-edit.jpg
    431 KB · Views: 2
Nawaza huko kwenye familia za ā€œwahusikaā€ wanazungumza lugha gani?

Ama kweli shetani ataanguka na wengi šŸ˜‚šŸ˜‚

Kwanini wameinvade privacy yake kiasi hiko? Was he looking forward kugombea urais? Wamemzima.

Why naye atunze skeletons za aina hii? Ni Fantasy yake au alitaka ku-blackmail?
Huhitaji kuwaza maana siku zote yeyote huvuna akipandacho.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ndiyo maana inashauriwa kabla hujaanza mambo yenu, vyema kuzima ama kuweka silent simu zenu kisha kuziweka mbali.

Niliwahi kudate mtu mmoja wa Usalama, kabla hatujaanza mambo yetu alikuwa anakagua sehemu zote za Chumba cha hotel yetu kuona kama Kuna vinasa sauti ama hidden cameras.

Mbona tendo linakuwa tamu vile vile pasipo kuchukuana picha Wala video.

Binafsi naona ni ushamba kurekodiana ya sirini
hii kamba mzee mwenzangu eti alikua anakagua chumba chote kwanza
 
Aombe msamaha Vipi mtu yupo lockup na mkewe yupo hospital kalazwa baada ya Hiyo scandal kulipuka akazimia . Though huyo Jamaa ana kesi nzito ya uhujumu uchumi (Money laundering) inasadikika kwamba walio leak hizo video clip ni usalama walipokwenda kumfuata walichukua pc yake mwisho wa siku ndio yamejitokeza hayo

Na tayari kuna victim mmoja kaamua kujiua baada ya video zake kuonekana Dunia nzima akiwa analiwa uroda na Huyo jamaa
Makam wa raisi mwenyewe mbona kama mla papuchi aliye kubuhu kama mwenzake tu?
 
Makam wa raisi mwenyewe mbona kama mla papuchi aliye kubuhu kama mwenzake tu?
Ndio Hivyo 😁😁😁😁

Kila mtu ana madrama yake na kila mtu ni mwema Sana mbele za watu mpaka Ile siku ambayo maovu yake yatakapo anikwa ,

Kwani unavyo dhani hakuna watu walio lala na wanawake kumzidi huyo Jamaa !? Wapo tena wengi Sana wengine Wana wagonga mpaka Marais ila haijulikani Kwa sababu kuna privacy
 
Jamaa ni porn actor ila hakuwa ameliona hilo, pigo zote za actors wa porn anazo. Anabebwa na uwezo mkubwa wa thrusts, yaani jamaa anapush sio poa, halafu ana mzigo wa majamaa ya kuact porn kabisa, halafu anaonekana stamina ipo...alikosea kuchagua career!
 
Jamaa kuna clip anatumia mpaka sex toy Jamaa ni porn watcher mzuri Sana hayo Mavideo yame muharibu akili
 
Nimeona mwamba anatrend kuwalala wanawake zaidi ya 400 ikiwemo wake za watu.
Binafsi nashangaa wanaoshangaa taarifa hizi kwa unafiki wao.
Iko hivi ikiwa hawajabakwa hao wake za watu hawajakubali kujiuza kama walivyojiuza hao wengine?
Ikiwa walikubali kwa hilarious wabebe musalaba who wenyewe. Mke wa mtu ukivua pichu huku ukifahamu nafasi yako lawama zote kwako. Umeongozwa na Tamara zako za fedha na zawadi kama wanawake mlio wengi mnavyo shobokea fedha na vitu.
Kwa wanaume 3/10 tunakuwa Walpole kisa hatuna he fedha. Je tungekuwa na fedha za kuhonga tungekuwa Walpole? Tuache unafiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom