Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Ujiangalia kwa umakini jamaa alikuwa anajirekodi mwenyewe
Hizo tabia hazifai Kwa watu wa Umri wetu.

Kuna Siku utawiwa kufanya biashara kubwa kubwa unashangaa watu wanaamua kukufanya Mtaji ama kukuharibia biashara zako Kwa kupost connection zako.

Hapo hata kama utakuwa na moyo kama wa Mzee Pinda huna budi kutuma Wazee wakazi na kuagiza "wapigwe tu" 🤗
 
Wee Jamaa Vipi !? Wakati wahusika walikuwa wanaona kabisa Jamaa ana washa camera na wao walikuwa wapo Radhi kabisa
 
Kweli jamaa anaonekana anashida, NI kama ubongo imekaa nyege hata ukiangalia zile vdeo
Kutazama porn kukuzidi Sana Matokeo yake ndio hayo ubongo unakuwa unatafasiri matukio ya kijinga Tu na Una kupush uyafanye hakuna Aliyewahi kuangalia Sana porn halafu akatoka salama katika kuwa na addiction ya kuwatch porn ndio kumezaa wasagaji wafilaji/wafilwaji na Malaya kama huyo jamaa
 
"Akinicheat na mimi namcheat."
Mwanamke mjinga

SWALI: Unafikiri mpaka sasa kati ya Baltasar na wake za watu aliowala nani wameaibika zaidi?

JIBU: Wake za watu

SWALI: Unafikiri kati ya ndoa ya Baltasar na ndoa za wake za watu zipi ziko hatarini kuvunjika?

JIBU: Wake za watu

SWALI: Unafikiri kati ya familia na ndugu za Baltasar na familia na ndugu za wake za watu zipi zimeaibika?

JIBU: Familia za wake za watu

Mpaka sasa jamaa anazungumziwa kwenye mitandao kama shujaa kwa kumega wake za watu. Lakini hakuna anayewasifu wake za watu zaidi wanatajwa kuwa ni malaya.

Huwa nashangaa sana wanawake wanaosema mume akicheat nao wanacheat. Kupitia hili sakata la Guinea nadhani wamepata majibu.

Kwa jinsi jamaa amepeleka moto kwa wake za watu atazidi kuwavutia wanawake wengine awasugue. Hata mke wake aondoke leo jamaa kesho anavuta manzi mwingine ASAP

Shida ni kwa hawa wake za watu wakiachika na video zao zimevuja nani atathubutu kuwafanya wake?

Learn or Perish
 
Mke wako anapata visafari safari kazin kwake kila mara na ww unachekelea tu anapata favor kibao na ww upo kama zoba hawanaga akili hawa hata robo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…