Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Mimi sijui nakaa shimoni ,siku ya pili inayeya hii.Video hata moja ya Bwana Balitazali mzee wa bolo litembee sijaitia machoni.
 
And no one is feeling sorry for her, Yaani wachache sana wanamuwazia huyo mwanamke.

Wengine wanajaribu kubalance story ati yawezekana naye anachepuka, WTF!

Naionea huruma sana jamii yangu na namna yao ya kufikiri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom