To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Umemjibu vyema aiseeKama huna akili ndio uingie, ukitumia akili hauwezi kuingia😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemjibu vyema aiseeKama huna akili ndio uingie, ukitumia akili hauwezi kuingia😂😂😂
400 shost?Zamani ilikua kitu cha kawaida ila kwa sasa hivi kuna kitu hakipo sawa hapo.
Amemgonga mpaka shangazi yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mume za hao wanawake wana hali gani sasa, kataa ndoa wanazidi kupata point.
Mpaka mke wa ndugu yake wa damu agongwa 😂 wanawake ni wajinga
Atakuwa kashamtembezea tayari🙌Baltazar lazima watamuua ili kuficha aibu ya taifa.
Minahisi hata mke wa rais amepita nae, sema haijatangazwa ili kuficha fedheha.
☹️Amemgonga mpaka shangazi yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja tusikilizie😂Umemjibu vyema aisee
Kama unayo ndio usiingie.Bc tuseme kama huna akili timamu Bc usiingie kwenye ndoa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kagonga hadi mke wa mjomba wake yaani shangazi yake huku akiwa na mimba.
Hili jamaa jinga sana
Chizi anachekesha na kufurahisha hadi atakapotoka nyumbani kwenu.Au mi ndiyo sijaelewa!?
Yaani hao wanawake au unamsema nani?Hata hivyo amani ya moyo ni muhimu kuliko kitu chochote....acha watu wafanye kinachowapa utulivu moyoni.
Ndoa yahitaji kichwa ngumu mno
Unaambiwa kamla naeBaltazar lazima watamuua ili kuficha aibu ya taifa.
Minahisi hata mke wa rais amepita nae, sema haijatangazwa ili kuficha fedheha.
Jamaa kapiga pipe to the all gavamenti sektaz....😂Atakuwa kashamtembezea tayari🙌
Inaumiza sana aiseeChizi anachekesha na kufurahisha hadi atakapotoka nyumbani kwenu.
Hiyo ni aibu ya taifa aiseeeee.....Unaambiwa kamla nae