Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
jamaa no light skin ila katembea na wanawake wenye high profile wasomi, wenye hela .
kawachakaza vibaya mno
 
Haya wale wa tutafute pesa tujipigie wadada tani yetu ebu mje mna la kujifunza hapa. Maana wale wanawake wengi wameolewa na wenye pesa zao lakini wamekumbwa na hii kashfa ya Engonga. Pesa tupu haitoshi....wapendeni wake zenu.... Wapeni muda....Yani pamoja na vingine mwanamke anapenda attention jamani. vinginevyo mtapigiwa sana.

Yani sasa hapa mawaziri na suti zao sijui wanajisikiaje wake zao wanazagaa mitandaoni.
 
kosa lake li wapi
wenye kosa walio pekua nyumba yake na kompyuta yake wakavujisha

yeye alirekodi kuona kwa matumizi yake, walio kosa uadirifu wakavujisha
Kosa lake ni tuhuma za matendo aliyojirekodi nayo.

Labda nikupe mfano, polisi katika upekuzi wa simu ama laptop yako, akaona clip umejirekodi unachinja mtu, hawatakushughulikia kwa sababu video hiyo ni praivace yako?

Hayo mengine ya nani aliyevujisha kwenye mtandao hakumpi kinga ya kuburuzwa mahakamani.

Aliyevujisha, naye atashughulikiwa kwa makosa yake.
 
Hivi kisheria kosa lake ni lipi hasa kulingana na sheria zao?
Yawezekana ni kurekodi bila idhini yao. Yaana mtu akuletee papuchi ya masihala, uichakate Kwa hiari yake na ukubali kurekodiwa Halafu iwe nongwa?! Kwa kweli kuna taabu Mahali fulani huko kwao…
 
kosa lake li wapi
wenye kosa walio pekua nyumba yake na kompyuta yake wakavujisha

yeye alirekodi kuona kwa matumizi yake, walio kosa uadirifu wakavujisha
Kosa lake ni tuhuma za matendo aliyojirekodi nayo.

Labda nikupe mfano, polisi katika upekuzi wa simu ama laptop yako, akaona clip umejirekodi unachinja mtu, hawatakushughulikia kwa sababu video hiyo ni praivace yako?

Hayo mengine ya nani aliyevujisha kwenye mtandao hakumpi kinga ya kuburuzwa mahakamani.

Aliyevujisha, naye atashughulikiwa kwa makosa yake.
 
Huyu jamaa anazingua sana.
Kuna video yake Moja nimeziona anasexy barabarani night na mtu anamrekodi anamzunguka.

Ni fakili ni matabiko ,
Alijiingiza kwenye masonic huku kama pdidy
 
Sio kitu Cha kawaida ,
Mpk barabarani afu wanajirokodi.
Kafanya hivyo Kuna sababu behind..
Video ninayo.
Daaaa nimeshangaa sana
 
Yawezekana ni kurekodi bila idhini yao. Yaana mtu akuletee papuchi ya masihala, uichakate Kwa hiari yake na ukubali kurekodiwa Halafu iwe nongwa?! Kwa kweli kuna taabu Mahali fulani huko kwao…
Unajua hatimaye nimeziangalia hizo videos [shout out kwa Kindeena aliyeweka jina la group la Telegram].

Katika hizo video, inaonekana kabisa akirekebisha camera/ simu huku wadada wakiwa wanamwangalia.

Sasa hapo ndo kurekodi bila idhini yao kweli?
 
Daily unachapa mwaka mzima si utabaki FUVU tu?
Kuna mtu mmoja alikuwa anafanya kazi bandarini na tulikuwa tumepanga nyumba kule yombo dovya, jamaa alikuwa anawapangilia 8-10 Kwa siku za weekend, walikuwa wanapishana tu bila wao kujuana. Alisemaga hayo ndio mazoezi yake- Kuwachapa tu na hata Hilo fuvu sikuliona. Afya buheri tele.
 
Ungetoa neno mzee,hivi umeona anavyozipuliza mkuu?
20s huyu hapa 🙌
Hahaha we mwalimu umenifanya nicheke peke yangu hapa nachek game ya simba,
Yule jamaa ana kipaji sio siri.Anaonekana anapenda mbususu kuliko chochote hapa duniani.
 
kosa lake li wapi
wenye kosa walio pekua nyumba yake na kompyuta yake wakavujisha

yeye alirekodi kuona kwa matumizi yake, walio kosa uadirifu wakavujisha
Labda huko kwao hata kujirikodi kwa matumizi binafsi ni kinyume cha sheria.
 
Unajua hatimaye nimeziangalia hizo videos [shout out kwa Kindeena aliyeweka jina la group la Telegram].

Katika hizo video, inaonekana kabisa akirekebisha camera/ simu huku wadada wakiwa wanamwangalia.

Sasa hapo ndo kurekodi bila idhini yao kweli?
Ndio maana nikasema labda. Mamlaka itakuwa na kazi sana kumtia hatiani huyu jamaa.
 
Kosa lake ni tuhuma za matendo aliyojirekodi nayo.

Labda nikupe mfano, polisi katika upekuzi wa simu ama laptop yako, akaona clip umejirekodi unachinja mtu, hawatakushughulikia kwa sababu video hiyo ni praivace yako?

Hayo mengine ya nani aliyevujisha kwenye mtandao hakumpi kinga ya kuburuzwa mahakamani.

Aliyevujisha, naye atashughulikiwa kwa makosa yake.
Kujirekodi picha za utupu sidhani kama ni kosa kwa Sheria za huko. Mimi naona Serikali wanapoteza muda na rasilimali fedha za bure kabisa.
Labda kosa litakuwa ni kufanya mapenzi wakiwa katika Ofisi za Umma, lakini siyo kujirekodi au kufanya mapenzi na wanawake za Viongozi Waandamizi wa Serikali.
Kwanza Wanawake wenyewe wanaonekana kwamba hawakulazimishwa, walifanya wakiwa na akili zao timamu sawa sawa kabisa. Wengi wao hao wanawake wanaonekana kwamba walikuwa wanafurahia kuchakatwa na huyo jamaa. Yaani ni upuuzi tupu.
 
Alafu kingine utawala wa equatorial guinea ni wa kimabavu sana, mmesahau Hilo.
Wanaweza wakamfanya kitu chochote watakacho.
Ni kama Rwanda tuu. Kagame anaweza mfanya mtu chochote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom