Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Mkuu katumia pesa za serikali kuonga baadhi ya wanawake.
Kuna mwanamke mmoja amesema alikuwa anawapa usd 10,000 to 43,000.

Ishu kubwa ni corruption
Kwa hiyo ni money Laundering case ambayo haihusiani na kuchakata.
Vipi kama kipato chake kilikuwa kina mruhusu na vipi Kama hiyo pesa kwao ni msaada wa mboga au mafuta ya usafiri? Ni wengi sana watakamatika hata humu bongo ikitokea hiyo.
 
Kosa lake ni tuhuma za matendo aliyojirekodi nayo.

Labda nikupe mfano, polisi katika upekuzi wa simu ama laptop yako, akaona clip umejirekodi unachinja mtu, hawatakushughulikia kwa sababu video hiyo ni praivace yako?

Hayo mengine ya nani aliyevujisha kwenye mtandao hakumpi kinga ya kuburuzwa mahakamani.

Aliyevujisha, naye atashughulikiwa kwa makosa yake.
kwamba kosa lake ni kujirekodi akizagamuana

mara ngapi video zinavuja za watu wazito na wasanii tena wengine wanavujisha wenyewe
 
Kosa lake ni tuhuma za matendo aliyojirekodi nayo.

Labda nikupe mfano, polisi katika upekuzi wa simu ama laptop yako, akaona clip umejirekodi unachinja mtu, hawatakushughulikia kwa sababu video hiyo ni praivace yako?

Hayo mengine ya nani aliyevujisha kwenye mtandao hakumpi kinga ya kuburuzwa mahakamani.

Aliyevujisha, naye atashughulikiwa kwa makosa yake.
Mfano wako hauingii hapa mkuu. Yeye na hao wanawake wamekubaliana, hajabaka. Kurekodi kwa matumizi yao wenyewe kosa lao/lake ni lipi? Kwa maana ya kisheria sioni kosa lake, issues za maadili labda. Unatolea mfano wa kuua/kuchinja mtu? Hiyo si jinai kaka? Jamaa ana shinda hiyo kesi asubuhi tu; sema usalama wake uraiani ndio mtihani. Yaani kapiga mke wa IGP, mkurugenzi wa TISS, AG, mawaziri na mke wa mchungaji? Khaa. Hivi alikua haogopi? Hao watu (except mchungaji ) wanaweza kumuua
 
Video 400 sio wanawawake 400. Kuna mshangazi karekodi nao video kama 10 hivi, mshanganga wa nguvu huo hakuna mwanaume anaruka.
Kuna mshangazi Moja ,
Anafanya mpk mapenzi ya jinsia Moja na video zipo kama 9 hivi na zingine kama zaidi ya 8 kafanya na jamaa.

Video nyingi amerudiarudia mwanamke 1 sehemu tofauti.

Video 400 na sio wanawake 400
 
Kwa hiyo ni money Laundering case ambayo haihusiani na kuchakata.
Vipi kama kipato chake kilikuwa kina mruhusu na vipi Kama hiyo pesa kwao ni msaada wa mboga au mafuta ya usafiri? Ni wengi sana watakamatika hata humu bongo ikitokea hiyo.
Hiyo ndo kesi alivyokuwa nao.
Afu pia inategemeana na Sheria ya nchi
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kitaifa la uchunguzi wa Fedha wa Equatorial Guinea, Baltasar Engonga, amekamatwa.

Bw. Baltasar alikamatwa kwa madai ya kurekodi video chafu zaidi ya 400, akiwa na wake za watu mashuhuri nchini humo.

Kashfa hiyo iliibuka wakati wa uchunguzi tofauti kuhusu madai ya ulaghai dhidi ya mzee huyo wa miaka 54, wakati mamlaka ilipofichua daftari la CD zilizokuwa na maandishi machafu wakati wa upekuzi nyumbani kwake na ofisini.

Miongoni mwa watu waliohusishwa na rekodi hizo ni wenzi wa viongozi wa ngazi za juu, akiwemo mke wa Mkurugenzi Mkuu wa Polisi, wanafamilia wa karibu na ndugu wa viongozi wakuu serikalini, akiwemo dadake Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo na wenzi wa Mawaziri.

Rekodi hizo ziliripotiwa kuwa za maafikiano lakini zimevuja mtandaoni, na kusababisha ghadhabu kubwa ya umma na uchunguzi mkali kutoka kwa vyombo vya habari vya ndani.

#KitengeUpdatesView attachment 3145332
Kosa lake ni nini? Aliyevujisha ambao ni maafisa wa Serikali ndio washitakiwe! Serikali za Afrika hazina na hazijui haki wala nidhamu ya faragha ya raia wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom