Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Wanawake 400 sio namba kubwa bhn
Video 400 sio wanawawake 400. Kuna mshangazi karekodi nao video kama 10 hivi, mshanganga wa nguvu huo hakuna mwanaume anaruka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake 400 sio namba kubwa bhn
Kwa hiyo ni money Laundering case ambayo haihusiani na kuchakata.Mkuu katumia pesa za serikali kuonga baadhi ya wanawake.
Kuna mwanamke mmoja amesema alikuwa anawapa usd 10,000 to 43,000.
Ishu kubwa ni corruption
kKufanya uasherati na mke wa mtu hapo wenye wake zao ndio wanaweza kumshtaki jamaa na pamoja wake zaoHivi kisheria kosa lake ni lipi hasa kulingana na sheria zao?
kwamba kosa lake ni kujirekodi akizagamuanaKosa lake ni tuhuma za matendo aliyojirekodi nayo.
Labda nikupe mfano, polisi katika upekuzi wa simu ama laptop yako, akaona clip umejirekodi unachinja mtu, hawatakushughulikia kwa sababu video hiyo ni praivace yako?
Hayo mengine ya nani aliyevujisha kwenye mtandao hakumpi kinga ya kuburuzwa mahakamani.
Aliyevujisha, naye atashughulikiwa kwa makosa yake.
Mfano wako hauingii hapa mkuu. Yeye na hao wanawake wamekubaliana, hajabaka. Kurekodi kwa matumizi yao wenyewe kosa lao/lake ni lipi? Kwa maana ya kisheria sioni kosa lake, issues za maadili labda. Unatolea mfano wa kuua/kuchinja mtu? Hiyo si jinai kaka? Jamaa ana shinda hiyo kesi asubuhi tu; sema usalama wake uraiani ndio mtihani. Yaani kapiga mke wa IGP, mkurugenzi wa TISS, AG, mawaziri na mke wa mchungaji? Khaa. Hivi alikua haogopi? Hao watu (except mchungaji ) wanaweza kumuuaKosa lake ni tuhuma za matendo aliyojirekodi nayo.
Labda nikupe mfano, polisi katika upekuzi wa simu ama laptop yako, akaona clip umejirekodi unachinja mtu, hawatakushughulikia kwa sababu video hiyo ni praivace yako?
Hayo mengine ya nani aliyevujisha kwenye mtandao hakumpi kinga ya kuburuzwa mahakamani.
Aliyevujisha, naye atashughulikiwa kwa makosa yake.
Tuma hapa tuoneSio kitu Cha kawaida ,
Mpk barabarani afu wanajirokodi.
Kafanya hivyo Kuna sababu behind..
Video ninayo.
Daaaa nimeshangaa sana
Kuna mshangazi Moja ,Video 400 sio wanawawake 400. Kuna mshangazi karekodi nao video kama 10 hivi, mshanganga wa nguvu huo hakuna mwanaume anaruka.
Hiyo ndo kesi alivyokuwa nao.Kwa hiyo ni money Laundering case ambayo haihusiani na kuchakata.
Vipi kama kipato chake kilikuwa kina mruhusu na vipi Kama hiyo pesa kwao ni msaada wa mboga au mafuta ya usafiri? Ni wengi sana watakamatika hata humu bongo ikitokea hiyo.
Kumdinya mke wa mfalme.Hivi kisheria kosa lake ni lipi hasa kulingana na sheria zao?
Weee hi hutoboi ni sawa na mimi kumla mshangazi ambaye ni mke wa mtu mmoja mkubwa barani dasalamu hapa 😂😂😂😂Kumdinya mke wa mfalme.
Ni kosa lisilosameheka.
Cc: Mbaga Jr Poor Brain Kalpana FaizaFoxy mshamba_hachekwi
Unapigwa risasi tatu za chogo.Weee hi hutoboi ni sawa na mimi kumla mshangazi ambaye ni mke wa mtu mmoja mkubwa barani dasalamu hapa 😂😂😂😂
Japo kwa sasa navizia shangazi moja hv liimbaji kwaya pale church flan hv....😂😂😂😂Unapigwa risasi tatu za chogo.
Luca ni mbadi kwenye kudinyana usimuone vile na masiasa yake. Ni kibolo dinda.Sasa wewe bichwa huyu lucas mbona ume mtag tena 😂😂😂😂😂🎶😂😂😂
Wewe atakustaki yule
Christina shusho??Japo kwa sasa navizia shangazi moja hv liimbaji kwaya pale church flan hv....😂😂😂😂
Sio wanawake 400 bali CD 400. Mbona mnapenda kukuza mambo.Wanawake 400 sio namba kubwa bhn
Kosa lake ni nini? Aliyevujisha ambao ni maafisa wa Serikali ndio washitakiwe! Serikali za Afrika hazina na hazijui haki wala nidhamu ya faragha ya raia wake.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kitaifa la uchunguzi wa Fedha wa Equatorial Guinea, Baltasar Engonga, amekamatwa.
Bw. Baltasar alikamatwa kwa madai ya kurekodi video chafu zaidi ya 400, akiwa na wake za watu mashuhuri nchini humo.
Kashfa hiyo iliibuka wakati wa uchunguzi tofauti kuhusu madai ya ulaghai dhidi ya mzee huyo wa miaka 54, wakati mamlaka ilipofichua daftari la CD zilizokuwa na maandishi machafu wakati wa upekuzi nyumbani kwake na ofisini.
Miongoni mwa watu waliohusishwa na rekodi hizo ni wenzi wa viongozi wa ngazi za juu, akiwemo mke wa Mkurugenzi Mkuu wa Polisi, wanafamilia wa karibu na ndugu wa viongozi wakuu serikalini, akiwemo dadake Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo na wenzi wa Mawaziri.
Rekodi hizo ziliripotiwa kuwa za maafikiano lakini zimevuja mtandaoni, na kusababisha ghadhabu kubwa ya umma na uchunguzi mkali kutoka kwa vyombo vya habari vya ndani.
#KitengeUpdatesView attachment 3145332
Nasikia watu wameona, emb nipe link nijaribu kuchungulia.Sio kitu Cha kawaida ,
Mpk barabarani afu wanajirokodi.
Kafanya hivyo Kuna sababu behind..
Video ninayo.
Daaaa nimeshangaa sana