Biggie Smalls alikuwaga anajiita " player" . Katikati ya beef lake na Tupac, Pac akamchana akamwambia " Biggie wewe sio player kwa sababu mademu ambao unawala umeanza kuwala baada ya kupata fame"
Tupac akaendelea " Ili uitwe player ni lazima wewe uwe ni mtu mwenye hadhi ya kawaida kabisa ( a regular guy who is not even famous but yet you sleep with nice and fine girls.)
Ukiwa ma sifa hizi wewe ndio una deserve title ya kuitwa " Player"
Definition ya Tupac kuhusu who is a player ilikuwa approved by a million of people accross the world.
Mimi naongezea vigezo vyangu vingine.
1. Lazima mademu unao tembea nao wawe ni from age 18 to 22 ( kwa sababu at this age mwanamke ndio anakuwa katika ubora wake na mwanamke anapokuwa katika ubora wake her ego inakuwa ndio the most dominant part of her brain. Her becomes very active and effective. Na mwanamke anapokuwa katika hali hiyo inakuwa ni very difficult kumpata. Sasa basi wewe jamaa ambae ni just a regular guy in the street sio maarufu wala huna hela za kihivyo halafu ukafanikiwa kuwapata mademu wenye sifa tajwa hapo juu na sio mmoja wala wawili basi wewe ndio unastahili title ya " a player"
Mademu hao wakiwa virgins basi nafasi ya wewe kuitwa Player inaongezeka maradufu.
2. Wanawake hao wake za watu kwa sababu hakuna mwanamke rahisi kumpata kama mke wa mtu. Nikikupa mbinu za kuwanasa wake za watu ndio utajua kwanini jamaa wanao tembeaga na wake za watu huwa hawaachi. Kutembea na wake za watu ni rahisi kama kutafuna karanga mbichi. Wake za watu ni rahisi na wepesi kuliko hata hao " mayaya" wanao jipanga.
Baltazar anashindwa ku qualify kuitwa Player kwa sababu zifuatazo:
1. Asilimia 99 ya wanawake alio tembea nao ni wake za watu.
2. Alikuwa anakutana nao kupitia nafasi yake ya Mkurugenzi wa Takukuru ya nchini kwake.
Hiyi hastahili kuitwa Player.
Ni sawa na jamaa mmoja miaka ya 2014 ( he was 27) watu walikuwa wanasema " Dah huyu jamaa ni bonge la striker". Mademu anao wapiga sasa " Mabaamedi"
" Striker wa N'gwanoko yani uitwe player kwa kugonga mabaamedi?" Are u crazy. Please usifananishe " uplayer" na vitu vya hovyo.
N.b : Hao wanawake watakao ku qualify kuitwa a player ni lazima wasiwe na alama za weusi katikati ya mapaja " dark inner thighs" wala michirizi kwenye mapaja " stretchmarks".
# Baltazar is not a player.
Hata sio maneno yangu bali maneno ya
LIKUD kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Chanzo: Likud Instagram page.
LIKUD