Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala, ziliandaliwa kuunga mkono kiongozi huyo wa kijeshi aliyechukua madaraka miaka mitatu iliyopita
Vituo vya umma na binafsi vilijazwa na mabango ya kampeni, na barabara nyingi zikiwa zimezuiliwa na malori yaliyojazwa wafuasi waliovaa T-shirt na boubou, mavazi ya kiutamaduni ya Afrika Magharibi yaliyochapishwa uso wa Doumbouya. Lakini jambo moja lilikosekana, upinzani hawakuonekna huku Mabango yote na matukio yalihimiza wananchi kupiga kura “Ndiyo” pekee
Wananchi wa Guinea watapiga kura Septemba 21, 2025 juu ya rasimu ya katiba anayohitaji angalau asilimia50% ya wananchi wapige kura ili kupitishwa ikiwa ni hatua muhimu katika mchakato wa kuhamisha mamlaka kutoka kijeshi kwenda kwa raia, huku uchaguzi wa rais ukitarajiwa kufuatia Desemba 2025 na idadi ya Wapiga kura walioidhinishwa ni milioni 6.7
Source: African news