Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Mimi ni mtu flan ambae huwa na mawazo mengi sana na huwa nafikiri vitu kwa ukubwa sana tu the point na weza kumiss little details.. (over thinker mkubwa sana mimi)
So basically ni kaamua kuwa instead of kukaa na vitu vingi kichwani ni bora kushare na kupata closure kwa wadau
Nafurahi mwitikio ni mzuri because najua what I say might be resonating kwa wengi.. Nimeongeza ujuzi na pia Nimetoa ujuzi kupitia mabandiko yangu..
But kuna kitu nakiona kina Leta doa, huenda sijui ni nini? Ila nacho jua ni kuwa katika majadiliano kuna kupingana but watu hutanguliza chuki badala ya kuangalia hoja, na mimi nimejifunza leo kuwa huwa nafanya hivyo bila kujua..
Huenda nacho kijadili au kutetea kiko sawa ila sipaswi kimchukia mtu..
Also kama kuna kingine mtu ame notice kupitia interaction zangu na yeye na haliko sawa, au nilimkwaza ajue I had no bad intentions kabisa. Naomba aseme tu hapa ili nijue nakosea wapi..
Jf ni platform nzuri na ni naamini bado Kuna bright minds wengi sana humu.. Trust me..
Ni hayo tu, Sita panic leo nataka nione nakosea wapi...
Viva DR Congo, mwingereza atoke tu.
Edit: Congo dawa za waganga zimeshindwa wazungu wamezipangua juu kwa juu.