Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Hahaha rafiki mbona Sijasema mtu leo?
Nilisema tupumzike kushika simu,tusafiri bila simu kwa masaa kadhaa,tutembelee vivutio mbalimbali nchini simu tukiwa tumeacha home.Hujatoboa🤐
 
Kwanza, hongera kwa kuwa tayari kujitathmini, that takes maturity.

Kwa jinsi nilivyokusoma kwenye mijadala yetu, tatizo lako siyo uwezo wa kufikiri bali tatizo ni kwamba kwenye mijadala yako mara nyingi unaanza na conclusion, halafu unatafuta hoja za kui-support badala ya kuiruhusu evidence ikuongoze, ukikutana na hoja inayopingana na mtazamo wako, unaelekea kui-dismiss haraka kwa kusema ni psychology, indoctrination au theory, badala ya kuichambua.

Pia, kuna wakati unafanya generalizations kutoka kwenye experience zako binafsi au observations chache, kisha unazifanya ziwe universal truth, hapo ndipo mjadala huwa unaanza kupoteza mvuto.

Na jambo la mwisho, jitahidi kutenganisha mtu na hoja yake, ukikosoa idea badala ya kumlabel mtu, watu watakuwa tayari zaidi kukusikiliza hata wasipokubaliana na wewe.

Keep your curiosity, but let evidence challenge your beliefs as much as your beliefs challenge evidence.

All the best Mkuu.
♥️
 
Mimi ni mtu flan ambae huwa na mawazo mengi sana na huwa nafikiri vitu kwa ukubwa sana tu the point na weza kumiss little details.. (over thinker mkubwa sana mimi)

So basically ni kaamua kuwa instead of kukaa na vitu vingi kichwani ni bora kushare na kupata closure kwa wadau

Nafurahi mwitikio ni mzuri because najua what I say might be resonating kwa wengi.. Nimeongeza ujuzi na pia Nimetoa ujuzi kupitia mabandiko yangu..

But kuna kitu nakiona kina Leta doa, huenda sijui ni nini? Ila nacho jua ni kuwa katika majadiliano kuna kupingana but watu hutanguliza chuki badala ya kuangalia hoja, na mimi nimejifunza leo kuwa huwa nafanya hivyo bila kujua..

Huenda nacho kijadili au kutetea kiko sawa ila sipaswi kimchukia mtu..

Also kama kuna kingine mtu ame notice kupitia interaction zangu na yeye na haliko sawa, au nilimkwaza ajue I had no bad intentions kabisa. Naomba aseme tu hapa ili nijue nakosea wapi..

Jf ni platform nzuri na ni naamini bado Kuna bright minds wengi sana humu.. Trust me..

Ni hayo tu, Sita panic leo nataka nione nakosea wapi...

Viva DR Congo, mwingereza atoke tu.
Mkuu 😂
 
Back
Top Bottom