Si tafuti huruma mkuu, hiyo ni gaslighting unataka kufanya mkuu, nimesema nataka kujifunza how to better interact na sio kuonesha huruma kwa mtuAaaaaah post tu bila kuvunja sheria za jf , bora wewe unapost ukiwa mzima , watu tuna post na pombe kichwani๐ค
Mzee hakuna haja ya kutafuta huruma ,ishi maisha yako
Huwa tuna bato sana , mbona sioni kama unakosea au unajishtukia mkuu?Si tafuti huruma mkuu, hiyo ni gaslighting unataka kufanya mkuu, nimesema nataka kujifunza how to better interact na sio kuonesha huruma kwa mtu
Mimi sijawahi post kufurahisha mtu na siwezi tu sina hulka hiyoo. Wengi wanajua kuwa ni arrogant na siitaki kupingwa lakini huwa natumia njia isiyo sahihi kwa pande zote mbili. How to argue without making another person offended ndo kitu nacho fikiria nnakosea
Wakina naningoja waje
Huna akiliHivi mbona wabongo huwa mnacriticize ila mnaishia kufanya jokes mtu akitaka kujifunza.. Kwa hiyo kumbe huwa mtu anawagusa pabaya? ๐คฃ
Unajieleza sana bwashee, jinsi ulivyo ndivyo ulivyo , kuwa wewe๐Hivi mbona wabongo huwa mnacriticize ila mnaishia kufanya jokes mtu akitaka kujifunza.. Kwa hiyo kumbe huwa mtu anawagusa pabaya? ๐คฃ
Haukubali kupingwa ndio , kwani kutokukubali kupingwa ni tatizo?Noo kwako hatuja wahi kufikia huko. Ila na ww kuna siku ulisema Mm huwa sikubali kupingwa ๐๐
Si dhani kama ni mmeelwa nilicho maanisha mnajibu tu kuendana na trend, Umesoma mada ukaelewaHata hiki ulichofanya hapa ni trait mojawapo ya overthinker, be you watu tumeogopa sana kuchukuliwa vibaya toka utotoni mpaka imejenga tabia ya kuogopa kutoa mawazo yako halisi, which is pretence.
Wewe ndo huna kwa sababu nimekuuliza swali ukanijibu utumboHuna akili
Hoja zenyewe ndo kama zile za "Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7"watu hutanguliza chuki badala ya kuangalia hoja
Kuna nyinge hii hapa watu walicharuka mbaya sana ๐๐Hoja zenyewe ndo kama zile za "Messi Kupost hii video ni kuonesha insecurity kwa GOAT CR7"
Kuwa wewe bwashee, mda mwingine tupo humu kufurahia tu , baada ya stress za mikimbizano ya maisha , tuki log out ya humu yanabaki humu humuSoo ulikuwa unanitania nikaze kichwa na niendelee na tabia yangu...
Thanks so much kamanda๐๐
Vitu havieleweki kabisa hii bila shaka uliiandika usiku mwingiKuna nyinge hii hapa watu walicharuka mbaya sana ๐๐
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..
Chukulia mfano waajiliwa,
Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?
Huu si wendawazimu?
Alaf unasema umeishi?
Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike mahala binadamu ajue he's more than a cog in a mashine
Mwenye manung'uniko afanye kama hajaona kilicho andika hapa
Blue Monday hiyo, nendeni mkaendele kufanya kile kile ili msahau kuishi
Cc meghan markle
- Gunner11
- binadamu gani kiumbe namna
- Replies: 138
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko