Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Kuwa wewe bwashee, mda mwingine tupo humu kufurahia tu , baada ya stress za mikimbizano ya maisha , tuki log out ya humu yanabaki humu humu
OK, ila hata kama ni maigizo inapaswa yawe ya kunufaisha to some degree
 
Ashapigwa goli 1
 
sure mkuu, ila hata wewe sio kwamba uko right na huwa tunabishana sana na kuna consistency nzuri kwenye hoja zako, ila sio kwamba ziko right..

We both learn from one another.

Shukran na nitazidi kufanyia kazi ninapo kosea tuko humu kujifunza especially in crucial matters
 
Usvunje Sheria za JF na Sheria za ustaraab wa kibinadamu. Toa mawazo yako ishi unavyoweza. Jf tunapita in cognito mode. Hatujuani nje ya hapa. So kuna wengine tabia za humu na nje tofauti. So ishi uwezavyo. People don't care at all
 
Usvunje Sheria za JF na Sheria za ustaraab wa kibinadamu. Toa mawazo yako ishi unavyoweza. Jf tunapita in cognito mode. Hatujuani nje ya hapa. So kuna wengine tabia za humu na nje tofauti. So ishi uwezavyo. People don't care at all
Sawa sawa...
 
Tafuta kazi kijana huo ni msongo wa mawazo, kushinda mitandaoni na kuandika andika hovyo hiyo sio dalili nzuri.
Una taka kunifanya ni panic ila sasa nimeshajua shida ni wewe😂
 
Exactly sio kwamba kuna mtu ana monopoly ya ukweli, kuna kugongana kwa ideas na kujifunza kupitia ideas hizo hizo.

Mimi huwa naona kuna value kubwa sana kwenye kubadilishana hoja tofauti, especially pale ambapo tunabaki kwenye respect na reasoning badala ya kushindana nani yuko right kila wakati.

I agree with you, tuendelee kujifunza, kurekebishana na kupanua perspective, shukrani pia kwa openness yako.
 
Thanks kamanda and actually through last interaction kwenye uzi wangu nili gundua hilo..

Exactly it's all about reasoning and respecting other's POV bila kuwa chukua wao.. That's a great deal in moving forward.

Mm ni mtu wa namna hiyo, I normally leave my ego behind sometimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…