Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Mnakuwaje na makasiriko na watu wa mitandaoni na hamjuani physically....
Actually ni illusion ndio, lakini emotions hazijui hilo, na kingine hatuko humu kucheza tu, tupo humu pia kujifunza na kukua kimtazamo
 
Unayopitia wewe walipitia wengine na wamevuka.

Na Kuna ambao wanapitia balaa ukiwachek unaona kumbe Bora Mimi Tu.

Acha wenge chukuwa konyagi kunywa
 
Unayopitia wewe walipitia wengine na wamevuka.

Na Kuna ambao wanapitia balaa ukiwachek unaona kumbe Bora Mimi Tu.

Acha wenge chukuwa konyagi kunywa
Ulevi Nimeacha mkuu
 
Kama unaweza kuwa self-critical namna hii wewe huna shida endelea kujiboresha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…