Hahaha ila kwa mbinguni mbaliHahahaha meno yoote nje, shenjii
Niko maji kinyama mkuuWe jamaa hata ueleweki unaongea nini
Acha nicheke tuHahahaha meno yoote nje, shenjii
HappyKwa sababu?
Kwanini nifurahie ukikandiwa ila we kijana 🙌😅Happy because unapenda sana wakini kandia sio😂 na mimi mkazaji tuu jeshi ya mtu mmoja
Hata simjui mtu huyo! 😂😂😂binti kiziwi et huyo mwingine ni huyu Marcostilone ?🤣🤣
Unamponza huyu😁Hata simjui mtu huyo! 😂😂😂
Ni wewe hapo mdogo wangu, unajua kuupiga mwingi, ulishawahi kuniona nimekupinga kwenye mada zako? Mwenyewe huwa natoa macho nisome nijifunze, Huwa zinajitosheleza, napenda na style yako ya kuuliza maswali kwenye comments ukiweka mada .
Mi sipo.. it’s bed o’clock.Unamponza huyu😁
😅😅 nimesoma kwa sauti ya yule yuda kwenye movie ya Yesu nimecheka mnoooHata simjui mtu huyo! 😂😂😂
I'm so excited kusikia hivi kutoka kwa mtu like you 🥹🙌🙌♥️♥️♥️Ni wewe hapo mdogo wangu, unajua kuupiga mwingi, ulishawahi kuniona nimekupinga kwenye mada zako? Mwenyewe huwa natoa macho nisome nijifunze, Huwa zinajitosheleza, napenda na style yako ya kuuliza maswali kwenye comments ukiweka mada .
Mzee wa kukabia juu kwa juu sio hahahaKatika Uzi huu asipotokea The Icebreaker, a.k.a VAR basi kuna kitu hakiko sawa.
Whaaat!😅😅 nimesoma kwa sauti ya yule yuda kwenye movie ya Yesu nimecheka mnooo
I'm so excited kusikia hivi kutoka kwa mtu like you 🥹🙌🙌♥️♥️♥️
Nilikuona selfika You are so beautiful🥰
Na kicwani pia una hazina hua na enjoy kusoma comment zako maa🫂
NB unaweza kusifiwa sana ndio
Ila swali linabaki unasifiwa na nani?