Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

Thanks for the compliment, mkuu 😊 Just to clarify, humu ndani nipo na hii ID moja tu.

Sometimes huwa naamua kuwa msomaji tu, nadhani writing style ndiyo iliyo mfanya bwana secretarybird ahisi ni mtu mmoja.
Naelewa watu aina yako hua hamna sababu ya kua na I'd nyingi

Endelea kuchangia hoja na mijadala kwa wingi

Mimi ni mmoja wa watu wengi ninaochukua vingi kwa comment zako🙏🙏
 
Naelewa watu aina yako hua hamna sababu ya kua na I'd nyingi

Endelea kuchangia hoja na mijadala kwa wingi

Mimi ni mmoja wa watu wengi ninaochukua vingi kwa comment zako🙏🙏
Much appreciated Mkuu, nafarijika kufahamu kuna vitu unapata kupitia michango yangu.

Tuendelee kujifunza na kujengana kupitia hoja na mijadala yenye mantiki 🫱🏽‍🫲🏾.
 
Thanks for the compliment, mkuu 😊 Just to clarify, humu ndani nipo na hii ID moja tu.

Sometimes huwa naamua kuwa msomaji tu, nadhani writing style ndiyo iliyo mfanya bwana secretarybird ahisi ni mtu mmoja.
Mtoto kakuelewa na Ushindwe kumalizia pasi hiyoo
 
Mimi ni mtu flan ambae huwa na mawazo mengi sana na huwa nafikiri vitu kwa ukubwa sana tu the point na weza kumiss little details.. (over thinker mkubwa sana mimi)

So basically ni kaamua kuwa instead of kukaa na vitu vingi kichwani ni bora kushare na kupata closure kwa wadau

Nafurahi mwitikio ni mzuri because najua what I say might be resonating kwa wengi.. Nimeongeza ujuzi na pia Nimetoa ujuzi kupitia mabandiko yangu..

But kuna kitu nakiona kina Leta doa, huenda sijui ni nini? Ila nacho jua ni kuwa katika majadiliano kuna kupingana but watu hutanguliza chuki badala ya kuangalia hoja, na mimi nimejifunza leo kuwa huwa nafanya hivyo bila kujua..

Huenda nacho kijadili au kutetea kiko sawa ila sipaswi kimchukia mtu..

Also kama kuna kingine mtu ame notice kupitia interaction zangu na yeye na haliko sawa, au nilimkwaza ajue I had no bad intentions kabisa. Naomba aseme tu hapa ili nijue nakosea wapi..

Jf ni platform nzuri na ni naamini bado Kuna bright minds wengi sana humu.. Trust me..

Ni hayo tu, Sita panic leo nataka nione nakosea wapi...

Viva DR Congo, mwingereza atoke tu.
Edit: Congo dawa za waganga zimeshindwa wazungu wamezipangua juu kwa juu.
Mnakuwaje na makasiriko na watu wa mitandaoni na hamjuani physically....
 
Back
Top Bottom