Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

Gwajima akamatwe ahojiwe anajua mpango mzima.
 
Inawezekana pia ni muhusika katika hizo plots just saying!
 
Ni kweli, tuendelee kumuamini. Mskize tena hapa!
Your browser is not able to display this video.
 
Sawa mkuu
Mmawia kuna kitu kinaitwa coincidence. Watu walishajua kuwa Magufuli ni Muuaji and therefore kwa criticism alizokuwa anazitoa Lisu against magufuli, it is very much possible a coincidence to happen with one predicting what might be the consequence of Lisu's criticisms!!
 
Muhusika iweje amtaarifu mlengwa kuwa atashambuliwa Ili ajiokoe?

Unatumia KICHWA kipi kufikiri?

1. Gwajima ni kiongozi wa dini mwenye wafuasi wengi tu unadhani , rumours zikienea kwamba ametabiri kitu kikatokea kweli idadi ya wafuasi itakuwaje? Jibu ni itazidi mara nyingi zaidi kumbuka dini hasa ya kikristo imekaa kibiashara zaidi hasa haya makanisa ya kiroho hivyo inahitajika akili kubwa kuongeza wafuasi ndiyi maana wanatumia shuhuda ambazo hazina uthibitishi wowote ilikujizolea wafuasi.

2. Tuchukulie alikuwa katika hiyo mipango na title yake kijamii ni baba wa kiroho wa waumini wengi mno, unadhani hata kama akimwambia muhusika, huyo muhusika anaweza kuthibitisha chochote? Jibu ni hapana maana jamaa atasema alioteshwa kwa maana yeye ni baba wa kiroho na bika ushahidi hauwezi kumfunga, so hapo lisu hata angetangaza bado jamaa angebaki kutambuliwa na umaarufu kuzidi.


LABDA SWALI NILIRUDISHE KWAKO HUWA UNATUMIA KICHWA GANI KUFIKIRIA?

N.b
Samahani kwa wale watakao udhiwa na baadhi ya maneno.
 

Yeah ! Ni sawa na mtu aone wingu limetanda ghafla na hali imebadilika akasema kutanyesha mvua muda si mrefu basi kutokana na hali ya hewa basi kutakuwa na hadi 80% ya mvua kunyesha
 
Wasaka tonge tuu hawa hamna lolote ninaishi kwenye jamii ya kichaga nawajua vizuri sana
Wewe unaishi kwenye hiyo jamii lkn mimi nimezaliwa kwenye hiyo jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…