Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

Unafikiri Gwajima ni WA kawaida kama wewe!!?

Kuna watu wanaijua kesho ya nchi hii mkuu!!
Ndivyo alivyokudanganya? Angekuwa anaijua kesho angesema watu Ulaya watakimbia chanjo ya korona na kuunga foleni ya kuja kuishi Tanzania na Magufuli atakuwa shujaa? Ule mpango kuna watu walidokezwa kwani hata kamera zilikuwa zimeshaondolewa. Magufuli alikuwa mwovu kama shetani. Unataka kuua binadamu mwenzako kinyama namna hiyo kisa tu anahoji ujinga wako?
 
Bwana Tundu Lissu alidokezwa na Gwajima awe makini kuwa kesho yake atapigwa risasi lakini alipuuza, sijui Gwajima alijuaje.

Wataalam mtujuze.
Tunaomba vifuatavyo km ushahidi :

Maandishi ya Gwajima
Huna
Leta Video ya Gwajima
Huna
Leta Audio ya Gwajima

Bila hivyo hatukuelewi hili sio Banda la Kahawa
 
Ndivyo alivyokudanganya? Angekuwa anaijua kesho angesema watu Ulaya watakimbia chanjo ya korona na kuunga foleni ya kuja kuishi Tanzania na Magufuli atakuwa shujaa? Ule mpango kuna watu walidokezwa kwani hata kamera zilikuwa zimeshaondolewa. Magufuli alikuwa mwovu kama shetani. Unataka kuua binadamu mwenzako kinyama namna hiyo kisa tu anahoji ujinga wako?
Gwajima alidokezwa kama nani mda huo yeye na RC bashite paka na.panya na kwanini asidokezwe lisu
mwanasiasa nguli
 
Back
Top Bottom