Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

Yaani usiwe na shauku, matendo ya lissu yapasa alazwe mapema. Hivi gwajima ndio huwa anasema.
Aseme tena basi. Daaah
 
Mbona siku nyingi sana lema alishasema na kupost mjini twitter
Kabla ya kuwa x
Sijawahi kumsikia Tundu Lissu mwenyewe akiligusia hili, na hata huyo Gwajima mwenyewe hata kulikumbushia tu!

Hili ni jambo muhimu, nashindwa kuelewa kwa nini halikupewa uzito wa kutosha hata kwenye mijadala tu ya kijamii hadi leo wewe unaliibua tena!
Nina mashaka na taarifa yako.
 
Watu wa jamhuri ya twitter wanajua hii na ilitolewa na lema mwanyewe unaweza ukasearch post
Za lema kama hajaifuta itakuwepo nadhani ni ya 2022 au 2021 baada ya kifo cha magufuli
 
Yawezekana sio kweli 🙄
Hakukuwa na kitu kama hicho , vinginevyo hiyo ingekuwa ni Talk of the Country mpaka saa hii ,
 
Watu wa jamhuri ya twitter wanajua hii na ilitolewa na lema mwanyewe unaweza ukasearch post
Za lema kama hajaifuta itakuwepo nadhani ni ya 2022 au 2021 baada ya kifo cha magufuli
Mkuu, habari kama hii Lema huyo huyo asingeishia huko huko kwenye Jamhuri yao. Hii siyo taarifa ya kuonekana na kupotea mara moja. Hili tu litakufahamisha kuwa ni taarifa ambayo haikuwa na miguu.
 
20240606_162709.jpg
 
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.

Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.

Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?

Kuna haja ya kuendelea kumuamini Gwajima maana aliyotabiri yalitokea.
View attachment 2534571
Alimsikia Magufuli akiropoka kuwa kesho ndiyo mwisho wa mtukutu Lissu kupumua.
 
Mkuu, habari kama hii Lema huyo huyo asingeishia huko huko kwenye Jamhuri yao. Hii siyo taarifa ya kuonekana na kupotea mara moja. Hili tu litakufahamisha kuwa ni taarifa ambayo haikuwa na miguu.
Nimetafuta ile aliyotoa maelezo in details sijaiona hiyo bado kwenye account yake unaipata
 
Heshima nyingi mkuu 'Duc in altum'.
Naheshimu sana mtu wa aina yako anayejitahidi kutoa ushahidi wa jambo analolizungumzia.
Kwa hiyo hapa sina mashaka tena na wewe; ila mashaka yangu yanabaki na hiyo hiyo taarifa iliyotolewa na Lema.

Gwajima aliyasemea wapi haya. Alikutana ana kwa ana na Lissu na kumpa taarifa hiyo?
Hapana, sikuulizi wewe ujibu hili. Wewe umekwisha maliza kazi yako vizuri kabisa.
Sasa sijui tutampataje Lema atueleze habari yake hii. Au pengine hata siku moja Tundu Lissu adokeze tu!
 
Uzi umeunganishwa unaweza kufungua video ya page ya kwanza labda itajibu
baadhi ya maswali nadhani kunapost lema amefuta alieleza in details
 
Back
Top Bottom