Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Tofauti yako na anaezuia Uhuru wa Habari na kujieleza iko wapi..Acha MTU awe huru kusema u Uvccm na uBavicha unawatoa kwenye point za msingi mnabaki kupiga debe na kushambulia kila neno. That's inferiority complex...Uvccm kazini. Piga kazi. Buku saba jioni
Inaonekana masikio hayasikii vizuri. Rudia tena kuusiliza. Hujanishawishi mimi ambaye nimeusilikiza full. Gwajima ametajwa mwanzo wa wimbo.hivi kwenye haya mashairi ya huu wimbo mpya wa chibu nionyesheni neno lililomtaja huyo gwajima[emoji116]
Nasema walau nina kidogo na mashabiki wananiambia mbona hausemi chochote
Ah, si uko nao siku zote ama ulezi unafanya uogope
Ah na media pande zote wanalalama kiongozi atoke
Ah nchi inaingia matope niende wapi na mimi mtoto wa wote,
Yaani lawama, acha nikae kimya, niongee, kimya (ooh ninyamaze mimi)
Nikae kimya nisemee (kimya) mama kaniambia (acha nikae kimya)
Ooh nifunge mdomo, mimi bado mdogo nisiseme (kimya)
Verse
Ni mengi majaribu najaribu kuepuka yasije nicost
Japo mengine swadakta mengine hayana maana
Rafiki kipenzi wa karibu hata nyimbo yake sikuweza ipost
Ila alipokamatwa iliniumiza sana mitandaoni kila kona
Uongo na ukweli unashonwa kila nyumba inanong’ona, ahh, ooh Tanzania
Mara kibembe Dodoma wabunge pinzani wamegoma juzi akapotea na Roma
Ohh Tanzania
Najaribu kunyamaza Makame hataki ohh ananiambia walau nina kidogo
Nyumbani nafungwa geti niende kwa Mangi kununua super gate
Napewa za chini ya kapeti kuna redio imevamiliwa eti
Ehh, napita kwenye magazeti nakuta lundo la watu wameketi
Ehh badala ya kutafuta senti wanabishana tu mambo ya vyeti
Acha nikae kimya (nisiongee ) nikae kimya (ninyamaze kabisa)
Nikae kimya (ulimi koma) kimya (usije kuniponza) acha nikae kimya
(nifunge bakuli langu) nikae kimya (nikojoe nikalale) kimya
Mimi bado mdogo sana mama kanimbia
Bridge
Najiuliza wapi (wapi) najiuliza wapiii, tunakwenda wapi
Wapi, kila siku maneno, wapii, hatuwajengi jamaa
Mimi na wewe ni taifa moja, Kambarage baba mmoja
Sasa tofauti za nini tushikamane tukaijenge Tanzania
Huyu ni baba mchungaji!baba mchungaji hajawahi kuniangusha.
Bishop Tapeli gwajimaBishop Gwajima
Hujawahi Kushindwa Mwaga Habari Yote
Hao Wajifunze Siyo Kila Mtu Ni Wamchezo
Kama Wametumwa Wajue Kesho
Hapo hatuna mchungajiMwambie mchungaji wako ahubiri injili yesu hakufundisha kulipiza kisasi sayeye anawafundisha nini nyie kondoo wake?
Kama ni tapeli kilichokuleta kwenye huu uzi ni kipi kama siyo ubashiteBishop Tapeli gwajima
Za zamani zilikuwaje?[emoji34]Matoleo yamepungua, anataka kupiga hela nyingi sana hio kesho.
Dini za siku hizi ni ujasiriamali
A. K. A gwa jbaba mchungaji hajawahi kuniangusha.
Yaani pale anaposema amefanya utafiti,Huyo mchungaji asambaze injili ya bwana, Yesu alitukanwa na kukashifiwa sana na warumi, mafarisayo na watu wasio mcha Mungu lakini hakunyanyua kinywa chake kusambaza umbeya.
Huo wimbo wa Diamond nimeusikiliza kwa umakini sana, Chibu kajaribu kuwa neutral sana sana sana. Asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kipande cha Gwajima anasema "Mara nasikia Konda, Gwajima ugomvi umekolea". Sasa hapo Chibu kamchafua wapi Gwajima.
Chibu anasema asimame wapi, yeye mtoto wa pande zote, anasema wazi kila akijaribu kunyamaza moyo unakataa, msikilize kwa makini anasema media zote wanataka kiongozi atoke, nchi inaingia matope (hapa yupo wazi kabisa kua japo Konda ni mlezi wao lkn uwepo wake ni kama nchi imeingia matope).
Gwajima hawezi kumshusha Diamond hata afanye nini. Dogo yupo strong kuliko Gwajima anavyodhania. Dogo anajenga misikiti na kurudisha fadhila kwa jamii, yeye Gwajima hata kanisa lake kashindwa kujenga anasalisha watu uwanjani.
Kanisa lake halifundishi kumsamehe shetani kama mimiHuyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Nadhani ajajua kuwa kabla ya hili mondi kashapitia vizingiti vingiHuyo mchungaji asambaze injili ya bwana, Yesu alitukanwa na kukashifiwa sana na warumi, mafarisayo na watu wasio mcha Mungu lakini hakunyanyua kinywa chake kusambaza umbeya.
Huo wimbo wa Diamond nimeusikiliza kwa umakini sana, Chibu kajaribu kuwa neutral sana sana sana. Asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kipande cha Gwajima anasema "Mara nasikia Konda, Gwajima ugomvi umekolea". Sasa hapo Chibu kamchafua wapi Gwajima.
Chibu anasema asimame wapi, yeye mtoto wa pande zote, anasema wazi kila akijaribu kunyamaza moyo unakataa, msikilize kwa makini anasema media zote wanataka kiongozi atoke, nchi inaingia matope (hapa yupo wazi kabisa kua japo Konda ni mlezi wao lkn uwepo wake ni kama nchi imeingia matope).
Gwajima hawezi kumshusha Diamond hata afanye nini. Dogo yupo strong kuliko Gwajima anavyodhania. Dogo anajenga misikiti na kurudisha fadhila kwa jamii, yeye Gwajima hata kanisa lake kashindwa kujenga anasalisha watu uwanjani.
Anzisha kanisa lako mkuu.Kanisa lake halifundishi kumsamehe shetani kama mimi
Lucifer siyo shetaniKanisa lake halifundishi kumsamehe shetani kama mimi