Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Huyo Gwajima wenu hajawahi kuishi uswahilini na hawajui watoto wa uswazi!Gwajima atampakazia nini Daimond mpaka ajisikie ovyo? Watoto wa uswazi wamefanya mengi ya ovyo bila mshipa wa haya utakachokuja kusema later in life hakina impact kwao as long my yao yamechange kiutamuutamu na moja ya good past time yao nikujikumbusha ujinga ujinga wao
Mbona mnaanza kujihami mapemaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tushamchoka huyo Gwajima
Atulie afanye kazi ya Mungu siasa na bifu za kipumbavu awaachie watu wa mataifa kama akina Makonda etc
 
Labda aje aseme Almasi analiwa sufuri.zaidi ya hapo,yote yashasemwa kuhusu jamaa.
 
Kwani viongozi tuliowachagua tuliwachagua ili wawe wavamizi wa ofisi za watu???
Ni kituo gani cha POLICE kimepokea taarifa juu ya uvamizi wa Office uliofanywa na kiongozi? au ni Mahakama gani kuna shitaka la uvamizi wa Office uliofanywa na kiongozi?
 
Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
Kwani Diamond angekaa kinya angetokewa na nn?,tatizo mnatka watu wapigwe makofi na wakae kmya wakjibu tu wanatumia vibaya knisa,yeye dimond katumia imbaj wae vzr?
 
Wachungaji wa saa hii !! badala yakutuubiria juu ya wokovu na kurudi kwa masiah wanshindana na wanabongoflava .. doooh !! kweli ni nyakati za mwisho
 
Dah mi naumia makonda na magufuli ni miongoni mwa watu niliowakubali sana
Hawa sijawahi kufikiria hata siku moja kama wanaweza. Ni watu wa kujipendekeza sana. Wanatutia aibu sisi, hatuko hivi. Nadhan DNA inahusika mkuu
 
Kwa hiyo Gwajima na Diamond nani maarufu, Gwajima umaarufu wake upo mijini tu wakati Diamond kila kona ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.!
Mmeingiza mguu kwenye mashine ya kusaga na kukoboa
 
View attachment 492823
Salamaaa

Sina mengi zaidi ya kumwambia diamond kesho anunue ndimu pamoja na kinywaji kikali kwani mchungaji keshasema kesho anakuchambua nami ntakwenda kumsikiliza kwamaan umetapika sana kwenye wimbo wako huu mpya.

Kwakuwa uu mnafiki sana basi dawa yako imepatikana.

Sina mengi zaidi ya kukupa pole kwa huu mlango ulioingilia.
Sema mchungaji wa mateja na asithubutu kumgusa kipenzi cha watu diamond
 
Back
Top Bottom