realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Tunao wawili ,,MANGE na GWAJIMASafi kwa gwajima. Palipo na ukweli panazungumzwa na uongo hivyo hivyo. Hakuna kulea uhalifu.
Tanzania ikipata watu km 20 tu km gwajima tutajua mengi yaliyojificha.
Majibu Haya yananifanya nianze kupata wasi wasi na "thinking capacity" ya huyu mtu anauejiita mchungaji, maana hoja zake zinaonesha kama kuna "back up" toka mahala au chanzo flank,Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.
“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema
Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.
Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Mkuu sipingi kuwa Makonda anatakiwa awajibishwe. Ninachohoji ni kiongozi wa dini anaehubiri msamaha na Upendo kushindwa kuwa na mpaka. The fact kwamba ameshajitetea na kumwanika Makonda, na kwa kuwa kanisani ni sehemu ya ibada, ingetosha tu akawaachia wengine waendeleze alikoishia. Its pathetic niende kanisani kuhubiriwa Bashite kila jumapili.Inatosha kivip?
Wewe unadhan ni jambo jepesi tuh kuitwa muuzq ngada au unajihusisha na ngada ili hali nyuma yako una wimbi kubwa la wafuasi wanaokuamin na kukutiii?
Wa kwanza kufanya character assassination ni yeye daudi bashite.
After all kuna shida gan kwa yeye bashite kuonesha vyeti vyake?
Wangapi wameachishwa kaz kwa sakata hili la vyeti fake na iweje na yeye msumeno huu usimfikie?
Leteni vyeti mbona wengine wenye vyeti fake wameondolewa na kuitwa watumishi hewa. Bashite naye ni mtumishi hewa aachie Ofisi ya Watanzania kama wengine walivyo fanywa na mtukufuMajibu Haya yananifanya nianze kupata was I was I na "thinking capacity" ya huyu mtu anauejiita mchungaji, maana hoja zake zinaonesha kama kuna "back up" toka mahala au chanzo flank, kwani sioni matumizi ya kipawa cha kichungaji kabisa katika mahubiri yake ya hivi Karibuni , afu wakristo hatufundishwi kulipa jino kwa jino , ngumi kwa ngumi.
Sasa najiuliza Je angekuwa ni wa "upande ule wa ng'ambo" si ndo angetamani hata kujitoa n....nga kwaajili ya hayo makaratasi..
Ni kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lkn Gwajima inatosha Sasa.
Swali kwa Gwajima je ni kosa gani kubwa kati ta kuforge vyeti na kuuza dawa za kulevya ? Kula pesa za watu na ukasema uongo kuwa utafufua ndugu zao, Je watu wangapi ulishawafufua kama sio utapeli ?
Kama haya aloyasema leo Gwajima ni ya Uongo basi Makonda akitokea SA aende mahakamni moja kwa moja,Huko ndiko ATASAFISHWANa hili ndilo litakalo haribu sana nchi yetu.
Kwa sababu, waharifu watajificha kwenye pazia la dini, na kuendeleza uovu .
Bado sana, silence will stop thisAskofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.
“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema
Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.
Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Na kwa kiongozi wa dinikukaa kimya mahali pasipo na haki na usawa huku wenzako wakiumia ni dhambi pia..ni halali Gwajima aseme ule ulio ukweli,mladi tu sio kwa lengo la kulipiza kisasi au kumkomoa mtu,kwa upande wangu,yuko sahihi..kwa sababu anasema ukweli ambao Watanzania tulio wengi tulikua hatuujui.#Asante_Mch_GwajimaNi kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lkn Gwajima inatosha Sasa.
Na we amzisha madhabahu yako yageuze kijiwe cha kutetea wahuniKwahio madhabahu ya kanisa la ufufuo na uzima yamegeuzwa kijiwe cha siasa????
Hatusikii neno la bwana ila Bashite...sasa Gwajima amekuwa mtafsiri sheria na kutoa hukumu...
Mange sawa lakini sio mchungaji mkuu. Mchungaji anapaswa aongoze katika kila jambo. Sasa kila siku ya ibada unamhubiri Bashite kanisani? Utashindwa kujitofautisha na wengine. Besides aliyofanya Makonda ni makosa kama mengine mbele ya mchungajiTunao wawili ,,MANGE na GWAJIMA
Serkal ya awamu ya tano inaongozwa kwa sera ya kusema ukweli "msema kweli ni mpenz wa mungu" kwa hiyo acha mtumishi wa mungu aseme ukwel ambao watanzania tumeaminishwa na serkal etu!Ni kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lkn Gwajima inatosha Sasa.
Je kuuza dawa za kulevya ,? Kuchukua mademu wa watu, kuongopa unafufua watu kumbe unapiga diliNa baada ya kusema hayo ni kondoo wa bwana wangapi waliompokea yesu kwa injili hiyo mpya ya mtakatifu Gwajima? Maana hilo ndio jukumu lamsingi aliloitiwa,kama ameitwa kweli.
Naona zege la leo limewagusa sana, unapimaje unafki wake mdau?Kwani ni uongo kwamba JPM hakufanya promotion ya watendaji wa JK?Hizo sifa alizompa mh rais ni za kinafki kupita maelezo.
Wanausalama msimlee huyu mchungaji feki.