Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

aisee nimeangalia mwanzo mwisho gwajima amemchanachana daudi Albert bashite. yaani anamjua ndani nje. bashite kifungo kinamsubilia akirudi tz kutoka huko ukimbizin alipo south
 
Tunachotaka ni vyeti! Hakika tusiposema katika hili mawe yataongea.Twende zetu Gwajima mpaka kieleweke
 
Wastage of time!!!

Watu wanatafuta wokovu, we kila cku siasa. Kama ulikuwa umeahidiwa ukuu wa mkoa angepita rafikio pole.

Achana na Makonda, weka Injili ya wokovu
Tulieni kinachouma sio dawa ni ugonjwa wa Bashite koromije weka vyeti acheni bla bla
 
Hizo ni sifa zimemzidi kanisani ni sehemu ya bwana na mahali patakatifu sio kwenda kuchamba watu si aanzishe bendi ya taarabu tuu sio kutumia kanisa kama kichaka, waumini wanakosa haki ya mahubiri kwa kukaa kusikiliza habari za makonda
 
kwa mujibu wa maelezo yake nchi inapaswa iyongozwe na maprofesor kiufupi jamaa anajivunjia heshima kila leo kwa mtu ambaye ni mdogo sana ukilinganisha na nyadhifa yake katika dini.
Huo wadhifa ndio ulimuweka Gwajima Lupango.
Muache gwajima ashughulike nayewamalizane.
 
Ikiwa ameathirika kichwani mshaurini basi apumzike la sivyo atawapotosha nyie waumini wake. Badala ya kuhubiri mambo ya dini anahubiri siasa; imekuwa too much sasa!
Too much kwako hatujaona serikali ikimfuatilia Basite halafu wewe unasema too much? Sasa kwa taarifa hili jambo haliisha hadi tuone Bashite kawajibishwa kama wengine walivyowajibishwa, nahasipo wajibishwa hapa atawajibishwa hukohuko alikokimbilia maana anatumia passport ambayo sio yakwake yeye ni Bashite anatumia passport ya Paulo kosa kubwaa
 
Acha ujuha Bashite koromije weka vyeti acheni bla bla
Kila kitu kina mahala pake mkuu,

Sipingi suala la vyeti ila napinga kwa Mtumishi kutokufanya mahubiri yahusuyo imani yake na kuanza kung'ang'ana na vyeti ila ukute hata waumini wake wanafata masuala ya vyeti.

Ila kwangu mimi alishaongea na akaongea na akaongea tena
 
Jamani Wazee wa Efatha leo kaka gwaji analipi kweny current ishuz
 
Gwajima..............ni kwi kwi
 
aisee nimeangalia mwanzo mwisho gwajima amemchanachana daudi Albert bashite. yaani anamjua ndani nje. bashite kifungo kinamsubilia akirudi tz kutoka huko ukimbizin alipo south
Kwa maelezo aloyatoa,ni kwamba Makonda yupo kwenye engo mbaya sana, labda mamlaka za uteuz zizibe maskio
 
Anasema alichokozwa hapa katikati ya wiki ndio maana ameibuka, na akitokea mtu akamchokoza atakuja tena na tena, waspokuja atanyamaza
 
Mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Askofu Josephati Gwajima amemjia juu tena Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda kwa kusema kwamba, anakula mshahara ambao aliapa kwamba ye n Paul Makonda wakati jina lake n Saudi Bashite.

Amesema hayo leo jumapili wakati akihubiri ibada ya jumapili kanisani kwake.

chanzo:MWANANCHI

Gwajima amshambulia tena Makonda
 
Anajisafisha au anabadili via angani? Hoja ni madawa ya kulevya, yeye anadai vyeti. Ndio kujisafisha huko? Serikali Mayo imekuwa na huruma sana. Anatakiwa aamue mama mimbari yake ni ya kuhubiri siasa am a neno la Mungu. Ona sasa hats mapepo yamegoma kumtii!!
 
Ikiwa ameathirika kichwani mshaurini basi apumzike la sivyo atawapotosha nyie waumini wake. Badala ya kuhubiri mambo ya dini anahubiri siasa; imekuwa too much sasa!
Sielewi kwa nini serikali imeachilia hili.
 
Halo kajisafishaje sasa! Ujinga mzigo
 
Kumbe ni hivyo!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…