Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Nasikia neno la leo limetoka katika kitabu cha Kubenea.
 
Yaani huyu Bashite anastahili adhabu kali Sana ili awe kama Kondoo wa kafara kwa wenzake wote, am very sure watu kama Bashite Wako wengi Sana kwenye system.
 
Daud Bashite hachomoki hapa...
Laana za Babu zitammaliza, alifanya mungu, sasa Mungu wa kweli anainuka...!!
 
Tumeshawachoka sasa, naona Makonda anatumika kama mtaji wa kibiashara na huyu mtu, Dini kwake ni biashara, mkubali mkatae.

Unamchokaje mtu anaishi kwake analala kwake, anakula kwake, hakupigii simu wala kukubugudhi kwa namna yoyote mmemchoka je ungekuwa unaishi naye nyumba moja ungekuwaje?
 
Wanawake mnapaswa kukombolewa. Wengi wenu hamjitambua kuamini hawa wachungaji uchwara.
 
Anasema alichokozwa hapa katikati ya wiki ndio maana ameibuka, na akitokea mtu akamchokoza atakuja tena na tena, waspokuja atanyamaza

Na hili ndilo litakalo haribu sana nchi yetu.

Kwa sababu, waharifu watajificha kwenye pazia la dini, na kuendeleza uovu .
 

Wamemchokoza wenyewe bwana wacha wapewe dozi kwani Si anasiku nzima ya kuhubiri so kwanza anaaddress issue ya Bashite then mengine yanaendelea Na wala hajaweka chuki anaongea tu ukweli. Na wakiendelea kumchonoa anaendelea na mengine they have been warned sasa wamuache!! Uzuri Sio yeye aloanza kwahiyo simlaumu!!
 
Na hili ndilo litakalo haribu sana nchi yetu.

Kwa sababu, waharifu watajificha kwenye pazia la dini, na kuendeleza uovu .

Mhalifu hapo ni Nani sasa!? Mmemsachi, mmempima mmemkuta msafi kama Si hivyo angekuwa ndani!! Hapo mhalifu ni Bashite aliemsingizia.
 


Gwajima, Kweli naye hamnazo kabisa, yeye ndiye, polisi, ndiye hakimu Daah maana alivyopanga kesi hizo na hukumu.

Ila ninachoelewa ni kuwa Gwajima ni kilaza kabisaaa.

Sema tu hizi dini uchwara za watu binafsi ndiyo matokeo yake haya.
 
Bashite kaenda kutengeneza vyeti feki south, akirudi anavtia maji ya chai na kupiga pasi kionekane kikuu juu,
 
Gwajima, Kweli naye hamnazo kabisa, yeye ndiye, polisi, ndiye hakimu Daah maana alivyopanga kesi hizo na hukumu.

Ila ninachoelewa ni kuwa Gwajima ni kilaza kabisaaa.

Sema tu hizi dini uchwara za watu binafsi ndiyo matokeo yake haya.
Wewe ndio kilaza usiye jielewa

Sent from my TECNO DP7CPRO using JamiiForums mobile app
 
Mhalifu hapo ni Nani sasa!? Mmemsachi, mmempima mmemkuta msafi kama Si hivyo angekuwa ndani!! Hapo mhalifu ni Bashite aliemsingizia.


Muda utasema,
Nilikutana na mzee moja amefanya kazi na Hayati Mwl. Nyerere; sasa huyo mzee yeye alikuwa anaiita serikali hivi siri- kali (Top - Secret) utaelewa tu kadili muda unavyoenda.

Maana akili zingine siyo za "tit for tat" zinaelewa taratibu.
 
Daud Na wewe unazingua hadi pepa la STD 4 nalo lilikuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…