Gwajima anapaswa kupigwa vita na vyama vyote

Binafsi namuunga mkono Gwajima. Jamaa ana convincing power ya ajabu. Na atashinda. Hayo mengine kwani anawabaka? Si wanakubali wenyewe ? Kuhusu uchungaji hiyo ni fursa tu. Kwa Tanzania ukifa masikini basi uliamua mwenyewe tu.
 
Mbona rais wa Malawi naye ni kasisi na nyinyi ndiyo mmekesha jf mkifurahia ushindi wake, why not Gwajima
 



Umeongea sahihi..lakini tabia za Gwaji boy na za boss wake hazipishani sana! Wanapokezana tu wanawake!
 
Gwaji boy, huyu mzee burudani sana muacheni kama alivyo, kipindi anamponda bashite mlimfurahia sana hata wapagani/waisilamu kuthubutu kwenda kwenye ibada yake, leo mnamponda tena yeye kujichanganya kwenye siasa
 
Asante sana kwa yote hapo juu nakubaliana na hoja hizoo na mimi huwa namwita huyu askofu wa wajinga.
Hizi ni nyakati ambazo wenye akili wanaogopa kuongea but wapumbavu wanajitokeza kwa ujasiri mbele kabisa kusambaza upumbavu, lakini historia itahukumu kwa haki naamini.
 
Wangari Maathai kama namuona vile namna anavyopanga mipango yake gwajiboy [emoji23][emoji23][emoji23], ni mtu makini sana hata akiwala hawatajuana, yule kondoo aliahidiwa jambo naona na haikuenda kama alivyotarajia akaamua kuvujisha akijua anamchafua, gwajiboy alizipangua hoja yani huyu jamaa ni typical mwanasiasa amechelewa sana kuingia kwenye siasa huku ndiyo kwake sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…