Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

Ila nchi hii walokole na watapeli wenu wanajiita maaskofu kama huyo gwajima sijui huwa wanawapa nini maana wote mpo kama watu ambao akili zime freeze.
 
Family affairs made public:the tale of gwaji boy and gwaji girl.
 
Ila nchi hii walokole na watapeli wenu wanajiita maaskofu kama huyo gwajima sijui huwa wanawapa nini maana wote mpo kama watu ambao akili zime freeze.
Kwani mada ni Gwajima na video za ngono au mada ni Chanjo ya Corona?

Basi hata wewe akili yako imeganda tu .
 
Kwahiyo hoja za video za ngono ndio zina majibu juu ya mambo ya Chanjo?
Huoni kama una ubovu wa akili pia?
 
Mimi binafsi nafkili huyu mama sio MD maana vitu anavyovifanya sio professional naomba tu rejee cv yake

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Gwajima la Kinyiramba linapepewa na good karma, Leo sijui atajibu nini?
Jumapili tunaenda kula chakula CHA kiroho, namna alivyoachika kwenye ndoa zake mbili
 
Ndg nakuheshimu sana lakini nimekushangaa kuchukua kipande kimoja cha aliyoyasema Gwajima badala ya kuleta mjadala wa hoja alizomjibu waziri.


Nawashangaa mnaomshangaa Gwajima, mjibuni kwa hoja na si kuleta udaku!!
Huyo ngabu naye hajielewi tu, na yeye ni walewale mipasho!
 
Ndio mara ya kwamza kumuoma kiomgozi wa dini akijisifia mbele ya kadamnasi kwa uzinzi. Nadhani hii ndio funga mwaka kabisa.
Kiongozi wa dini haoni aibu kufanya uzinzi.
Ulitaka awe shoga....
bora wamemkuta akikaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…