Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

Kwani alitombania juu ya mapazia au kitanda kilitandikwa mapazia?
Net ya kitanda in zamabarau, mapazia ni ya cream, ila yule sio Gwajima, nimepima size ya pua zinatofautiana sana, sio mwenyewe Duniani wawili wawili mwacheni Baba askofu apige Injili.
 
Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa..
Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo
Shujaa CRM
Kwani hapo anaechafuka ni nani UKRISTO AU GWAJIMA??
 
Sijawahi kuwaamini hawa wanaojiita wachungaji,manabii,wafalme,ni majizi tu,majasiliamali ya kutumia dini.
Na wahanga wakubwa ni wanawake.
Wanayotenda Manabii wa kidigitali, mapadre, mashehe n.k nyuma ya pazia ni ya kuogofya
 
Kwanza gwajima mwenyewe siyo fala kiasi hicho ajirekodi tena anafanya mapenzi tu.

Actually picha ya juu na chini kuna utofauti mkubwa sana hata wa physical appearance ya hao watu
Oanisha paji la uso wa picha ya juu na chini utaona tofauti kwa picha ya juu paji la uso limepanda juu na refu tofauti na picha ya chini paji la uso ni mviringo.

Labda tuseme picha ya chini ni photoshop but i dont see any...
 
Nimeangalia hiyo video na Picha zinazotumwa kwenye mitandao kumuonyesha Mtumishi wa Mungu GWAJIMA akifanya mapenzi na mwanamke akiwa chumbani nimegundua ni zakutengenezwa..
Kwanza ifahamike, Mimi sio mshirika wa Gwajima wala siandiki ili kumtetea.Mimi ni mtaalamu wa maswala ya ICT, na nimefanyakazi nyingi sana za Photoshop na Editting za picha mbalimbali
Kwanza, nimefuatilia kuhusu hiyo video, ni kweli huyo ni Gwajima Ila hiyo sauti ya mwanamke inayosikika ni sauti iliyopenyezwa haitokani na uhalisia wa tukio
Pili, Hiyo picha inayomuonyesha Gwajima kwamba amelala juu ya mwanamke ni picha iliyotengenezwa, Ukiangalia maungo kati ya shingo na kichwa cha Gwajima kilipopachikwa utaelewa kuwa Gwajima hana shingo ndefu namna ile.Hicho kichwa kimekuwa croped kutoka katika ile video
Tatu, Mazingira ya video inayoonyeshwa na mazingira ya picha iliyotumwa hayaendani, angalia mapazia na background zimetofautiana kabisa
Nne, Ni swala la kujiuliza maswali ya logic tu ambayo yatakupa kujua Hilo tukio Si la kweli Bali kutengenezwa. Je ni nani ambaye Gwajima angekubali ampige picha wakati anafanya mapenzi?Kama huyo mwanamke ni mchepuko wake, Je Gwajima ni kwamba hana akili mpaka akubali kupigwa picha akiwa anafanya mapenzi? Hata kama angekuwa kweli yupo na mkewe au mchepuko, isingewezekana kukubali kupigwa picha, ajipige picha ili akamuonyeshe nani?
Hizi taarifa ni za uongo kabisa zenye lengo Si tu la kumchafua na Kumshushia heshima Gwajima Bali linachafua kanisa la Mungu kwa ujumla, hata kama Gwajima humpendi au sio mchungaji wako lakini kufurahia aibu na video hzi kwa Gwajima ikiwa ni Kuutukanisha Ukristo wako pia na kumtukana Mungu
Hivyo, Ikiwa kweli wewe ni mkristo wa kweli lazima utaukemea ushetani huu unaosambazwa na maajenti ya ibilisi kuuchafua ukristo kwa ujumla.Hivyo kushiriki kufurahia au kusambaza taarifa hizi chafu kwa kufurahia aibu hii kwa Gwajima ujue unashiriki kazi za shetani, na wewe ni mchafu wa namna hiyo hiyo
Shujaa CRM
Sasa mwenyewe kakiri alifanya hayo ila kipindi hajaokoka we ni nani wa kusahihisha hilo?
 
Picha alokaa kifua wazi kwenye mapazia Kuna hadi rangi ya zambarau halafu kwenye ile anayomwaga miuno mapazia hayana rangi ya zambarau,so yawezekana ni feki!
Sasa unajuaje kama ni siku mbili tofauti. Kwani we ukituma picha zako zote leo hii zitakuwa za location moja?
 
picha nyingine kuna pazia bluu picha nyingne pazia jeupe.picha za edit hizo turudishieni mduda acheni upuuzi huo
 
Kwani hata hili la Mtumishi likichukua wiki, ndio watu watasahau mtu aliyetekwa?
Hili la pili ni jepesi sana. Kwanza limeshafutika. La Mdude litabaki tu hakuna namna Labda arudishwe.
 
I expected this
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:

_"Wakati anapambana na mimi kipindi cha operesheni yangu ya tokomeza madawa ya kulevya nilisema hawezi kunishinda kwa sababu najua sio mchungaji bali ni tapeli tu wa mjini anayetumia kanisa kutapeli watu._

_Niliamua kuwa mpole ili nione mwisho wa mashambulizi yake, sasa nadhani kwa pigo hili watu wataamua nani mshindi kati yangu na yeye._

_Nimeshatoa maelekezo kwa kamanda Mambosasa amsake popote alipo akaeleze kwanini amekuwa akiwanyanyasa waumini kingono"_

*- RC Makonda*
 
58468576_2343687382571313_1699873483710056841_n.jpg
 
political science inatumika ili mdude aoze, leo hunda ndio siku yake ya kutolewa roho, naomba tukeshe kwemnye maombi, unaweza kuta ni majambazi wa nchi jirani, tuombe nchi nzima, kama paulo na asila waliachiliwa iwe huyu mdude?

ukiomba hata dakika moja Mungu anasikia
Mkuu mdude ndio nani?
 
Mbona mnaleta porojo nyingi?Hio video iko wap?
 
Kwa haraka ukiangalia ile picha inayosambazwa utadhani ni Gwajima, lakini kumbukeni watu huwa wanafanana. Gwajima hana shingo pana kama ile, pua kubwa kama ile, kidevu kipana na hata macho yake siyo makubwa kama yale... MUDA UTASEMA.
Analipa sh ngapi na mimi nianze kumtetea kua sio yeye?
 
Hivi kile kipande cha 705kb na kile chenye 16MB vimerekodiwa sehemu moja kweli.Au ndiyo vile watu tukiamua kubeba jambo.Kwa macho ya kawaida mimi naona ni venue tofauti kabisa na ni kitu ambacho kinaashiria kuwa "technology innovation" ndiyo imetumika kufanya "manipulation"
 
Back
Top Bottom