Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Naenda kuwasikiliza wageni wa kutoka kolomije akiwemo mwalimu wa Mh Mungu wa Boma

Ila mm Roma lakini naenda maana nasikia yeyote tu anaruhusiwa.
 
Ni bora huyu anayefanya mchana kweupe, hao unaowaamini ambao hawajioneshi huwa wanafanya sirini/gizani makubwa kuliko haya ya huyu bwana.
Funguka usikariri.
 
Naenda kuwasikiliza wageni wa kutoka kolomije akiwemo mwalimu wa Mh Mungu wa Boma

Ila mm Roma lakini naenda maana nasikia yeyote tu anaruhusiwa.
Lazima mtazingirwa, jiepushe na kwenda huko.
 
Si jambo la busara baba askofu analotaka kufanya.. Ni vizuri akawaachia watu wa kawaida wasio viongozi wa dini..

Vitabu vya Mungu vimetuasa tusimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake..

Hapa Askofu Gwajima anatetereka kiimani kama anatumia NENO nitumialo mimi!
 
Mi ntakaa mbele ili niweze kupeana mkono na Mgeni kutoka Kijijini
 

Attachments

  • kolomije.jpg
    93.3 KB · Views: 44
hahaha,
bashite ataangalia ibada kwa jicho moja
 
Sasa huyo babu ndo atakuwa ushahidi?

Gwajima fanboy logic😀.
Wewe ushahidi ulikua unataka upi?? Maana haueleweki umelilia ushahidi Unaletewa Mwalim wake wa Primary unapanic.
Imeandikwa Usimwache Mchawi Aishi.
 
Me natokea mkoani wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kufika kanisani kwa askofu gwajima
 


Kama wanujuana vile ... kwasababu nimejiuliza

Nini ilikua sababu ya hii mechi walio avalia jezi, Mpaka mechi inaisha kweli hawafahamiani hawa mh?


Dr Gwajima alisema siku ya mechi Bashite alikuwa anamwaangalia kwa jicho la wivu sana kisa alitua na helicopter uwanjani.
 
UKO SAWA LAKINI WACHA KWANZA BASHITE AFUNDISHWE KUWA NA ADABU.. VINGINEVYO DOGO ANAWEZA AKAKUFANYIA HATA WEWE UKAAMBIWA NI MUUZA SEMBE UTAJISIKIAJE?
 
Wewe ushahidi ulikua unataka upi?? Maana haueleweki umelilia ushahidi Unaletewa Mwalim wake wa Primary unapanic.
Imeandikwa Usimwache Mchawi Aishi.

Pwa ha ha ha.

Gwajima fanboys bana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…