Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Ameshamsamehe,ila lazima akemee dhambj ya uongo,daudi bashite anadhambi ya uongo ya kudaganya umma wa nchi yetu lazima akemee ndio Nazi za maaskofu
 
Wewe una uhakika gani kuwa kweli huyo ni mwalimu?

Una uhakika gani kama kweli alimfundisha Makonda shule ya msingi?

Na kama kweli ndo yeye, una uhakika gani kuwa atachosema ni cha kweli na si cha kizushi?
Kipi unachotaka ambacho kwako hakitakua na shaka? Ukilitewa copy ya cheti pia inaweza kutengenezwa sasa wewe ushahidi upi wataka??
 
 
Ngabu,ni sawa anacho fanya Gwajima ni upuuzi na ushenzi,sasa mbona mwenye vyeti asijotekeze?

Mwenye vyeti ndie anae sababisha had mijadala inakuwa mingi.

Ajitokeze,atupe ufafanuzi,vinginevo upuuzi na ushenzi vitaendelea.
Mwambieni Bashite aonyeshe vyeti yaishe vinginevyo akubali maumivu yaendelee.
 
Kipi unachotaka ambacho kwako hakitakua na shaka? Ukilitewa copy ya cheti pia inaweza kutengenezwa sasa wewe ushahidi upi wataka??

Nataka ushahidi unaothibitisha kuwa Paul Makonda siyo Paul Makonda ila ni Daudi Bashite.

Umeelewa? Kama hujaelewa sema maana nyie Gwajima fanboys mko wazito kuliko....
 
Wacha wamshike Gwajima lkn pia wamshitaki pia Bashite
 
Gwajima Msukuma mwenzako

Naam, ngosha Gwajima anawakamua sana wafuasi wake.

Huku kuna ngosha Magufuli...pale kati yupo ngosha Makonda...halafu kwa pembeni yupo ngosha Gwajima.

Ukija JF unakutana na ngosha Ngabu.

We run this shit....take that!

And on that note, I'm out.

Now read and weep.....Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Naona kama dalili za mtu kufutiwa usajili wa kanisa Ila naomba serikali isifike huko
Wacha wafanye wanavyo taka ila wakumbuke maneno ya busara ya baba wa taifa mwl Jk Nyerere kuwa ...SERIKALI HAINA DINI....
 
Unaonekana kwanza hujui kusoma,pili huna busara hata kidogo kwa kukashifu mahali patakatifu kwa watanzania wenzako
 
The truth will set you free
 
Huna akili hata kiduchu na pia huna akili,hapa jukwaani hakuna sehemu wachangiaji wamekashifu sehemu ya kuabudia ya watanzania wenzao
 
Kwa hiyo kama Makonda alikuwa ana behave kitoto Gwajima naye ndo a behave kitoto, siyo?

Hizi ndo reasoning za wafuasi wa Gwajima.

No wonder!
Hapo mch Gwajima kafanya kitu gani cha kuvunja heshima ya mwenzake kumlinganisha na huyo Bashite wako?
 
Nyani mbona unajifanya hufahamu aina hii ya watumishi? Man of the cloth? Huyu? Hivi umeshawahi kusikiliza mahubiri yake na akina mzee wa upako? Mbona ni mipasho all the way. Acha akina Makonda wajifunze kutochokonoa "vichaa" katika hizo career ambition zao. Wao wabakie kuwanyanyasa akina Lowassa, Mbowe, Manji, n.k.; Sio hawa. There is a lesson for some chaps here. Let it sink in.
 
Kuna kipindi hiyo 7x70 haitumiki!
Unakumbuka kwenye Bible Yesu alipoingia hekaluni akakuta wamepafanya pango la wanyang'anyi? Alichofanya ni kutoa adhabu ya papo kwa hapo kwa kuzibinua binua meza zao...ile ilikuwa ni HASIRA ya kimungu!

Sasa tukirudi kwenye hii kadhia, Gwajima alituhumiwa kujihusisha na madawa...sasa anachokifanya ni kusafisha huo uchafu, by uchafu nafikiri unaelewa namaanisha nini.
Karibu.
 
Basi ndio hautakuwa rc.
Wenye akili za visasi utawajua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…