Mbona unataka kutembea kabla ya kutambaa!Sasa katika watu hao maarufu yupi amekutwa na hatia ya kuuza madawa ya kulevya na akapewa adhabu inayostahili? Mana huwezi kusema umethubutu mission ikiwa impossible
Si Wote wanapitia stage ya kutambaa usikaririMbona unataka kutembea kabla ya kutambaa!
Mbona ndiyo maumbile, kusayansi! Toa mfano kwa binadamu aliyetembea bila kutambaa - labda una tafsiri yako ya kutambaa na kutembea!Si Wote wanapitia stage ya kutambaa usikariri
Chenga chenga za nini mwambieni aonyeshe vyeti yaishe.
Ndiyo mnavyojifariji, Bashite ameshaingia kwenye 18,Akuonyeshe kwani unataka kumuajiri?
Toka lini kelele za vyura ziliwahi kumzuia tembo kunywa maji?
Gwajima si kasema anavyo fake na original,anashindwa nini kuviweka public?
Unavomchukia Mchungaji GWAJIMA hufikii ninavomchukia SIZONJE [emoji83] kwajinsi anavopindisha badala ya kunyooshaHuyu Gwajima kwa hakika ukiwa na sense 6 hutashindwa kuelewa ni mpiga deal tu, na Lazima underground ana deal na mambo mengi ya kishenzi, Mchungaji unafuatilia vyeti Vya MTU kisha unavitumia kama rungu ili usishughulikiwa au kumnyamazisha aliye kinyume chako kisha hao nguruwe wake wanasema amina!!!! Mchungaji unaweka masharti uombwe radhi, mchungaji gani wewe unayevizia watu. Umeitwa umehojiwa umeachiwa huru kisha unaanza kupambana na mamlaka, mshenzi!!!! Inaongoza vipofu na wote mtatumbukia shimoni
Kweli kosa vyote ila usikose upeo.! Umeambiwa we ni shoga si mfungulie mashtaka alokuambia wewe shoga ili ukweli upatikane?! Sasa BASHITE kaambiwa aliprove EARTH IS SPHERE yaani aligonga FWE FWE zoote ila alitumia vyeti visivyo vyake sasa si ajitokeze aoneshe vyeti ili tujue ya kwamba GWAJIMA ni Askofu muongo na mzandiki asiye na haya.?!Ukisema kila unachoshutumiwa ujitokeze ukikanushe utakuwa lofa. Wakikwambia wewe ni shoga, kapimwe rinda utuletee picha x-ray tuthibitishe, utaenda? Mambo mengine ukiwa kiongozi unapiga kimya tu, ndio dawa.
Ndiyo mnavyojifariji, Bashite ameshaingia kwenye 18,
mahakamani lazima aende kama si kwa vyeti feki ataenda kwa kesi ya kikatiba, au watu aliowachafua, na akienda huko lazima aape kwa majina yake hapo ndipo atakapokutana na kina Lissu na Kibatala,
Lissu: tuambie majina yako unaitwa nani.
Bashite: Paul Makonda
Lissu: Daud Albert Bashite unamjua.
Bashite: Simjui.
Lissu: hivi vyeti ni vyako?
Bashite: ndio lakini.....
Lissu: ni vyako? lakini ya nini.
Bashite: niliapa mahakamani kubadili jina.
Lissu: Mh.hakimu sina maswali zaidi.
Bashite alite vyeti bhana. Mfano wako hauendani na hoja mezani.
Acha maneno weka vyeti mezani
Kwanini niwe disappointed.Kwani nani kasema Makonda Ana kinga ya kutokushitakiwa?
Mbona mpaka sasa Ana kesi inaendelea mahakama ya Kinondoni dhidi ya kina Guninita?
BTW:Mahakama hizi hizi ambazo huyo Lisu mwenyewe anasema zinapokea maagizo kutoka juu au atapelekwa ICJ?
Jiandae kuwa disappointed.
Hakuna ukabila mkuuWatu wa kwimba washamba sana wanashambuliana wakati ni kabila moja tena wanatoka kijiji kimoja.
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Akuanzaye mmalize.Watu wa kwimba washamba sana wanashambuliana wakati ni kabila moja tena wanatoka kijiji kimoja.
Biblia inasema ukipigwa kofi shavu la kushoto geuza na la kulia lakini imekaa kimya akiendelea kukupiga ufanyeje.Kama ni kweli kunamaandalizi hayo ya kuwaleta walimu waliomfundisha Makonda ili watoe ushahidi nafikiri sio sawa, haya sasa yatakuwa ni mambo ya kidunia, nilimuelewa sana Askofu Gwajima aliposema kuwa jambo alilofanyiwa atalishitaki kwa Mungu. Huo ndiyo Ukristo, katika ukristo wa Agano jipya fundisho la jino kwa jino halipo.
Serikali ni sikivu ninauhakika vyombo vinavyohusika na mambo ya kidunia vitafuatilia uhalali wa hivyo vyeti kama wataona kuna sababu ya kufanya hivyo. Askofu Gwajima ninahakika anaelewa fika kuwa Hakuna silaha mbaya kwa adui yako katika mambo ya kiroho kama kukaa kimya maana ukikaa kimya pale unapoonewa Mungu husimama na kukutetea ila ukiamua kujitetea Mungu hukaa pembeni. Haiwezekani vita ya kiroho upambane kimwili halafu ushinde, kitakachoendelea hapo ni kutoa nafasi ili shetani akuangushe na kukuaibisha.
Mkuu mbona makonda aliwadhalilisha wazee na familia zao mbele ya camera!? Je, hiyo ilikuwa ni sawa?Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!