Msakanyoka Mtz
Member
- Dec 26, 2016
- 9
- 3
Sio kidogo, hadi bashite amekuwa mnyonge kwelikweliKazi kwelikweli
Mchungaji anabwia unga ndo maana ukweli unaumaMungu ni mkuu na muweza wa yote.....yeye huweka mambo yote wazi.
Apache kuuza ungaHapana dada rosie.. Hii sio habari ya kusamehe wala visasi,hii ni kazi ya mtumishi wa Mungu kufichua maovu...mch.gwajima hakuna kurudi nyuma..
Sasa, kama ameshatoa ahadi ni vigumu kwa mtu ambaye ni gentle kutotimiza ahadi. Apo anatakua ametembea walau maili moja makonda aliyotaka, bado moja ya nyongeza inakuja...Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Ya imani yaache yatatuliwe kwa imani lakini haya Bashite yaache yatatuliwe na koromije Ila tatizo naloliona ni kwamba watu tumejawa na chuki hadi tunashindwa kuwa na fikra mbadala hamna aliye tayari kusema ukweli huo utakuwa unaumiza upande wake kati hizi pande mbili UFIPA na LUMUMBAMimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
Ha ha ha
Lazima jumapili nihudhurie hiyo ibada, kupiga chini bashite ni baraka, hebu fikiria yule muuguzi aliyehukumiwa jela miaka 28 kwa makosa hayo hayo, why double standard!Jpili kanisa litafurika sana huyu jamaa anajua pia kucheza na mind za watu..ila Bashite aliingia choo cha kike kwa huyu Gwajima
Naona ni Poa ilimradi kinachozungumzwa kiwe cha kweli... Kusiwe na uongoHuyu Ni mtu wa kukamata fursa.Kishaona suala la mgogoro wake Na Makonda Ni fursa inayoweza kuongeza Sadaka.Anajua kwa kuwaalika Watu hao (wenye ABCs za Makonda) kanisani kwake Watu Wengi wanaopenda kujadili Watu Na mambo ya Watu wengine watafurika Na yeye kuvuna vya kutosha.Kwa hiyo jamaa yuko kwenye promosheni.
Tulia na bashite, lazima kieleweke, na bunge ndio linakuja
Vyeti ndio mpango, atupie mezani.Hii inaitwa @vuta nkuvute,ukichimama nchale,ukikaa nchale,ukikimbia chale,ukilala nchale,ukichuchumaa nchale,ili yaishe,weka vyeti mezani
Ningeweka vyet mezan nimkomeshe gwajimaMakonda sijui anajisiiaje naimagine ningekuwa mm
Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Wewe ulie samehe una Kondoo wangapi?Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF.
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh Makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni mtu mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo la kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.