Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Gwajima nafikil maandiko yaliposema kutatokea manabii wa uongo tayar ameshaanza gwajima.

Kaz kwa kondoo wako.ibada itageuka kuwa siasa ko na sadaka juu au

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
 


Dada, (kwa sababu ya avataor kama ni ME nisamehe).

Hili jambo usifikilie kuwa Gwajima kwa kusema hayo na kuleta watu na wazee ukadhani yuko salama , na usione polisi imemuacha kuhusu sembe ya sumu ukafurahia , serikali inamacho makali sana na siku akikamatwa utashangaa sana.

Kuna siku hutaa kaaa kamwe uamini tena mtu wa dini yoyote ile.

Naamini unaelewa ninachosema hapo juu.

"Time is a good Teacher"
 
Siku ioo church portifolio itajaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] religion is also an enterprise Gwajima being a succesful CEO
 
Yan makonda anapakazia watu upuuzi wake alafu anategemea kusamehewa kisa utumishi wa Mungu?gwajima vimba nae huyo makonda mpk apate akili.
 
Unfortunately tunaongelea vitu viwili tofauti, Gwajima whether ni muuzaji Wa ganda au sio muuzaji am nt interested on that...

Serikali whether inataka kumdhuru Gwajima au haitaki kumdhuru am nt interested either...

My only concern ni kwamba ana evidence za kutosha kuwa madereva ni Mr Zero na ni Jambazi Wa vyeti,bhasiiiiiii that's it

Kuwa Mr Zero kapata kiboko yake coz anajifanya much know sana,ila kwa Gwajima amewatoa jasho la kutosha,Hadi Makomeo moja haikai mbili haikai,anawaza tu jinsi ya kupoteza evidence zote

Otherwise mi ni KE
 
Acha pic iendelee....yy si alisema katumwa na Mungu kuwaumbua na kuwasema watu wanatumia madawa....wacha watu wajue ukwel....mnafki ni mbaya kuliko shetani
 

OK,
That's great.

Thanks.
 
Tulia aweke ukweli hadharani. Acha na Gwajima amtuhumu Bashite kuwa ana vyeti feki.
Jino kwa jino.
 
Acha pic iendelee....yy si alisema katumwa na Mungu kuwaumbua na kuwasema watu wanatumia madawa....wacha watu wajue ukwel....mnafki ni mbaya kuliko shetani
Tehe tehe tehe kamwaga mboga na yeye anamwaga ugali....washinde njaa wote
 
kiukweli huyo gwajima amehifadhi chuki na itakuwa inamuumiza sana maana ata ugum wa madawa kama kiongozi wa waliokufa na kufukuliwa akili kiukweli ilitakiwa kusapoti na si kulipa visasi vya udhalilishaji naona aisaidii kitu maana kwa utendaji wa mkuu wa mkoa ni kuteuliwa na aupeleki vyet vya uhitim wowote naona na yeye anafikia ukingoni kwani hana jipya

Sent from my SM-A500FU using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…