Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Mbona hata daudi bashite alikuwa ana behave kitoto kutangaza majina Yale ya wauza unga akiwa hana ushahid acha hiyo ngoma wachezeee wote tu
Hilo ndio tunalo liombeaHii inaitwa @vuta nkuvute,ukichimama nchale,ukikaa nchale,ukikimbia chale,ili yaishe,weka vyeti mezani
Analazimika kutafuta watu wa kumuombea lkn kesha chelewaGwajima anatwanga kotekote,hampi Bashite nafasi ya kupumua

Asamehe kitu gani? Hata ilifika wakati flani Yesu alitembeza kichapo kwenye soko haijawahi kutokea, usiishie tu kusoma eti alipindua tu meza kwenye synanogue lililogeuzwa kuwa soko...watu walikula kichapo cha mbwa mwizi, Bashite deserves his sticks!Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Analazimika kutafuta watu wa kumuombea lkn kesha chelewaGwajima anatwanga kotekote,hampi Bashite nafasi ya kupumua
Mkuu if my memory saves me right ulitaka ushahidi wa hili, iweje umefura baada ya kusikia Gwajima anakuja na evidence ambazo bado ni tetesi.. I am confused sijaelewa Gwajima kama kweli ataleta ushahidi atakuwa kakosea nini nieleweshe kidogo na mimi slow learner kama Bashite
Mmeshikwa pabaya teh teh! [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
HAPO SIO KUSAMEHE BALI KUUWEKA UKWELI WAZI KILA MTU AUONE NA AUSIKIE!Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
vyovyote vile, ila anasaidia kuondoa kibrii, nani anaweza kumfunga paka kengere, mtu alitaka kuitunishia misuri hata mahakama, kwa ubavu gani. NDUGU KAA PEMBENI kidogoMkuu huyu sio kiongozi wa kidini bali ni mjasiriamali katika dini!
Tulia kaka umeandika page nzima hamna point hivi unakumbuka Gwajima kachafuliwa Jina kisa Unga?? sasa wacha na yeye achafuliwe jina kwa vyeti feki mwaga mboga mwaga ugaliKama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Biblia yangu Mimi Ina Yesu, yule yule aliyewapiga wafanyabiashara hekaluni...Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Upo sahihi mkuu, huyu mchungaji gani anatembea na visasi kiasi hichi? au yeye yupo kwenye kundi lile jingine la manabii wa uwongo watakaojitokeza siku za mwisho mwisho maana hao tutawajua kwa matendo yao kama haya.Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
SUALA HAPO SIO KUSAMEHE, BALI NI UKWELI UMEJULIKANA??? ACHENI UKWELI UANIKWE! KUNA NINI MNATAKA UKWELI UFICHWE??? KWANI DAUDI KAOMBA KUSAMEHEWA???Bado mnalo kumbwe!!! Ile amri inayowataka kusamehe X 70 kwa siku mmeisahau nini? au ndo ya Kaisali hayo?