Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Kama mbwai mbwai tu!! Yeye atamsamehe vipi mtu asiyetaka kusamehewa, kaambiwa aombe msamaha kabla chungu hakija chemka je? kafanya hivyo. Hata kama ni mimi Siwezi kumsamehe mtu wa namna hiyo.
 
mnajitekenya na kucheka wenyewe baada ya kuona mmegundulika hila zenu eti ugeni kwikwikwi labda aende tena kenya kukodisha waigiza misukule
 
Kusamehe ni hiyari ya mtu binafsi na sio lazima kusamehe by the way msukuma vs msukuma makonda alidhalilisha mwache naye apate ka taste kiduchu.
 
naomba Mungu aendelee hivihivi ili amnyooshe bashite. kiburi chote pyuuuuuuuuu
 
Tulia kaka umeandika page nzima hamna point hivi unakumbuka Gwajima kachafuliwa Jina kisa Unga?? sasa wacha na yeye achafuliwe jina kwa vyeti feki mwaga mboga mwaga ugali

Unaona sasa...kuna common denominator naanza kuioa katika wafuasi wa Gwajima.

Endeleeni niwaone....
 
Hahahhaha dah haya ,kwa Gwajima alichemka Kova ndio itakuwa Makonda ? Wajanja huwa wanasema chagua vita unayoweza kupambana nayo sasa Makonda wa watu ni ki Floyd Mayweather halafu anataka apambane na Joe Frazier ?

Kama naona Helkopta ya Gwajima ikishuka kuwafuata wazee Kolomije
 
Naona umeelemea upande mmoja tu wa Gwajima, kumbuka Maandiko yanasema apandacho mtu ndicho avunacho. Gwajima hajaanza leo kuletewa chokochoko na watu kama akina Makond*. Udhalimu walioupanda kwa Gwajima ndio wanaouvuna.
 

Sasa kama Gwajima ni Msukuma, kama mimi ni Msukuma, na kama Makonda ni Msukuma....

Huyo aliyedai kuwa namkingia kifua Makonda kisa ni kabila langu, ana nini cha kusema kuhusu mimi kulaani mwenendo wa Gwajima ilhali naye ni Msukuma?

Oh wait....Gwajima fanboys logic😀.
 
His behavior has been very unseemly.

A man of the cloth comporting himself like a drama queen.

Shame shame shame.
There is a human side of a human being... Regardless how religious is he.....
 
Ndio maana kazingirwa ilii mgeni asije ongea amkamtumbua mwanawamfalme
 

I guess you have a point dude!!!
 
Mbona Mungu akuwasamehe maadui wa Israel Bali aliwapa msaada Israel wa kuangamiza maadui zao, mbona akuwaambia wakeshe wakiwaombea maadui? Kuna wakati wa kuomba na kuna wakati wa kujitetea.
Mimi naamini makonda, amesoma na ana vyeti vyote vya halali, Ila kwa wale ambao hawaamini basi ajitokeze na vyeti vyaki hadharani kuwafunga midomo wote.
 
Asante nami nimeliona hili naamini Pastor GWAJIMA atazingatia hii......nikweli kijana amekosea Mkubwa aonyeshe Mfano wa Kusamehe.....
Kisasi sijuu yetu....
Ajiuzulu ili asisemwe, vinginevyo, ukimwaga ugali namwaga mboga.
Go Gwajima go..........................
 
Gwajima ni Askofu wa Hovyo sana Samehe mzee na sahau
 
Kumbe unamtetea Basheti!!Wacha nao waone machungu ya kuwa na vyeti feki.
 
Mbona wakati bwana Bashite akichafua majina ya watu akiwatuhumu kuhusika na madawa mlimshangilia? Alituminisha amefanya uchunguzi Wa kina na alikuwa nao ushahidi.

Sasa Muosha huoshwa, na yeye ajisafishe Kama anavyo vyeti ajitokeze na kujibu tuhuma Kama alivyo fanya Kwa wenzie ili RAIA tujue Ukweli wa tuhuma zake.
 
Makonda si alisema anaweza akamhamisha mtu yoyote akiona analeta dharau na akaondoka na NDALA zake tu?
Sasa ni wakati wa kutekeleza ule ufalme wake wa kufukuza watu Dar akianzia na Gwajima arudi KOLOMIJE na MALAPA tu ili atuachie chopa yake.
Saa nyingine kuheshimiana ni jambo zuri sana, Gwajima alitajwa hadharani, na Makonda ngoja atajwe hadharani, ila kama Gwajima anazusha basi wamchukulie hatua kali na kama ni kweli Makonda kafoji vyeti basi awajibike.
Mnaotaka Gwajima asamehe mnaonaje mkimuomba Makonda amsamehe Manji na Wema? Makonda ameshasema yeye ni msema kweli na anaongozwa na nguvu za Mungu basi acheni nguvu za Mungu zimuongoze kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…